Lazima upitie hatua hii ili ukue kiakili

Lazima upitie hatua hii ili ukue kiakili

Mkuu usicheke maana huenda ni ulemavu huu, unajua sisi wengine tunapata hela kwa spana sanaa kutoka lazima zitoke kwa spana pia nakumbuka majuzi nilienda mkoa wa Tanga jioni nikamua nikajirushe sehemu wanapaita Tanga Pazuri pana live band pale (mimi nipenzi sana wa live band hasa zilizopendwa) nilikaa karibu na mtoto mkariiii....kuanzia juu mapaka chini anamvuto sanaa tena alikuwa na vidread fulani hivi amezing...ugonjwa wangu huu nikatupia ndoano ya kuomba company.. mtoto akakubali alipogusia suala la hela tu....nikaona Gordons yangu kichwani imekata paaa mtoto anataka 50,000..mwisho 30,000 nimpiga sound achukuwe 10,000 ila bia anywe mpaka atambae aligoma kabisaa.... basi nikamkosa hivi hivi.
Sasa hizo za bia hadi kutambaa si ungempatia, wewe ulikuwa hujapenda
 
Imeandikwa malipo ni hapa hapa duniani fanya yako mkuu, haya matukio yanatukuta wengi.

Mimi nimetulia tuli mwezi sasa unakatika bado nauguza maumivu makali aliyoniachia msaliti mmoja, najua huko alipo ananimiss sana, namsubiri kwa hamu labda hasirudi aisee -- akirudi lazima nifanye yangu, lazima apate uchungu kama nilioupata!
 
Habari za jioni wana MMU. ..
Moja Kwa Moja ngoja niende kwenye mada aisee...
Ama kweli jamani dunia hadaa Ulimwengu shujaa....
Aiseeee lazima upitie foolish stage then akili ikomae ndio ujue maisha yanakuaje
Miaka kadhaa ilipita kipindi nipo chuo aisee Nilipata kuwa na mahusiano na binti mmoja matata sana aisee nilimpenda sana ..
Wakati namtongoza yeye alikua mwaka wa pili na mimi mwaka wa kwanza ila umri nilimzidi mana mimi nilivyomaliza form six Nilifanya busssines kidogo kama two years then nikaanza chuo yeye aliunga moja kwa moja... tulianzisha mahusiano wakati yeye miezi mitatu nyuma alikua ameachana na mtu wake (boyfriend ) Na alikubali kuwa na mimi kwa sababu za kiuchumi (hapa sikujua) tulidumu zaidi ya mwaka mmoja na miezi nane mpaka a namaliza chuo nilimsaidia kumlipia baadhi ya gharama za chuo mana mwaka ule nilioanza naye mahusiano ndio mwaka ambao baba yake mzazi Alifariki halafu kwao kiuchumi hakukuwa njema nilimnunulia simu 35k laptop 35k na vitu vingine mapenzi Yalienda kila siku mbaya zaidi hatukuwahi kukorofishana hata siku ..
Mwaka ule ambao yeye anaanza mwaka wa tatu Kumaliza chuo ndio mimi niliamua kusitisha Masomo kwa sababu za usimamizi wa busssines zangu ila Niliendelea kuwa na mahusiano naye ...
Kumbe bwana hawa viumbe hatari sana aisee semister ya mwisho ndio alianza mawasiliano na ex wake kuwa warudiane ili waje kuoana na mbaya zaidi yule boyfriend wake tayari alishamzalisha mwanamke na mtoto kama wa miaka minne hivi na yule mama mtoto alikua anampenda sana jamaa ...kufupisha story
Baada Ya Kumaliza chuo kusubiri masuala ya graduation yule Demu Aliniomba hela kwa Ajili Ya Maandalizi ya sherehe ...
Nilivyompa hela tuu almost kama laki Nne hivi aisee kuanzia hapo kila nikimtafuta nikaanza kuona amebadilika. ..
Rafiki yake na yule Demu alikua a namshukuru kuwa asiniache mimi kwa sababu ya huyo ex wake....
Lakini hakumsikiliza mwisho wa siku bwana aliamua kuniblock kila kona ya mawasiliano....
Basi na mimi nika move on japo iliniumiza sana Niliumia Sana aisee yule shemeji yaani rafiki wa Aliyekuwa Demu wangu ndio angalau alikua ananifariji kuwa Mungu yupo one day yes...
Aiseeee Mungu mkubwa miaka ikapita na mimi nipo na shughuli zangu business zangu mdogo mdogo zinasonga. ..
Aiseeee kuna siku nilipost picha insta nilimtag yule shemeji wangu za wa zamani mana kwangu alikua kama rafiki yangu hivi wa karibu
Aisee ex wangu alianza KUCOMMENT na like mara umependeza mara nice. .
Nikapotezea sasa siku nipo tuu viwanja na wadau nilipigiwa simu na yule shemeji wangu kuwa mambo yameharibika kwa rafiki yake kwa maana kule Alikwenda aliambiwa aolewe matala kitu ambacho Kinyume na makubaliano na bwana yake ndio mwanzo wa kuharibika kwa mahusiano yake na mbaya zaidi yule mama mtoto naye anakaza zaidi kwanini na yeye anataka kuachwa basi binti yupo tuu anashangaa mataa....
Mimi Nikamjibu kuwa achana naye kila mtu na maisha yake hapa duniani ...
Sasa tangu week iliyopita nimeona sms kwa namba ngeni za kunifariji na kutaka kuonana ana mazungumzo na mimi nilipompigia akajitambulisha kuwa ni furani basi mimi Nilimwambia nipo Mkoa kwa shughuli Binafsi nikiwa free ntaonana na wewe. .
Sasa moyoni hapa nina mpango wa kumgegeda weweeee tena speed ya 4G siku namwacha mataa ya Ubungo aisee kama a nasubiria ndugu kutoka Mkoani. ...
Ushauri kwa huyu ex-wangu - JamiiForums
Mzeee wa story
 
HahahH yani mkuu huu ushauri wako mwanzoni umeanza kwa kung'ata halafu mwishoni ukamaliazia kwa kupuliza
utakuwa unamkomoa nani??? kwamba ndiyo gharama zako zitarudi???

hebu acha bangi huyo ni mke wa mtu mwingine baadae huko, fanyamambo yako

mwanamke hakomolewa kwa style hiyo hata siku moja me naona kumkalia kimya ni jibu zuri sana.

all the best mkuu kwenye huo mgegedo
 
Una haki ya kufikilia hivyo lakini pima na madhara ya tukio hilo mfano tambua kuna HIV na HOMA YA INI hakuna dawa kuyatibu pia kumbuka limbwata badala ya kumgegeda na kusepa unatakabidhi na hati ya nyumba
''Mwaka umepita vipi ulifanikiwa?
BEST ONE BOY
 
Mimi sikufikia huko ila kuna mipango mingi sana tulijiwekea baadae akaja kuzingua akaa kimya kama miaka miwili halafu akaanza kurudi kwa speed ya dream liner nahapa namlia timing ajae kwenye 18 zangu tu nifanye yangu
Hapo haumlii timing bali mnaliana timing
 
Back
Top Bottom