Designer_3434
JF-Expert Member
- Dec 4, 2015
- 4,930
- 3,982
Achana nae mkuu fanya mambo ya msingi.
Sawasawa chiefAchana nae mkuu fanya mambo ya msingi.
Hatari sana aiseeMkuu usicheke maana huenda ni ulemavu huu, unajua sisi wengine tunapata hela kwa spana sanaa kutoka lazima zitoke kwa spana pia nakumbuka majuzi nilienda mkoa wa Tanga jioni nikamua nikajirushe sehemu wanapaita Tanga Pazuri pana live band pale (mimi nipenzi sana wa live band hasa zilizopendwa) nilikaa karibu na mtoto mkariiii....kuanzia juu mapaka chini anamvuto sanaa tena alikuwa na vidread fulani hivi amezing...ugonjwa wangu huu nikatupia ndoano ya kuomba company.. mtoto akakubali alipogusia suala la hela tu....nikaona Gordons yangu kichwani imekata paaa mtoto anataka 50,000..mwisho 30,000 nimpiga sound achukuwe 10,000 ila bia anywe mpaka atambae aligoma kabisaa.... basi nikamkosa hivi hivi.
2.nmeielewa vzur1: Kugegeda sana sio kuzaa mapacha
2: huwezi kuikomoa k ambayo ina uwezo wa kupitisha kichwa cha mtoto/ watoto.
3: mpaka sasa dawa ya ukimwi hakuna.
4: waweza kuendelea na maisha.
Atanfanyaje mkuu fungukaUsidhubutu kumsogelea hata kwa dawa hawa viumbe nilishawahi tendwa hivyo vivyo niliumia sana hatua ya mwisho nikajipa moyo nikaacha aliyesababisha aniache nae hakumuoa akaenda kuoa usukumani kwao akaanza kurudisha majeshi kwa Sms coz simu nilikuwa sipokei akaanda mpaka kwa wachungaji wa kanisani waje wamuombee msamaha nikagoma hawa ni wa kuwatumia tu! Ila huyo Usimguse ni Nyoka mwenye Makengeza.
Laki tatu na nusu mkuu kariakoo nyingi tuNielekeze ulipo nunua laptop kwa sh. 35k
Siwezi kutesa kiumbe ambacho hakina hatiaMkuu rudiananae afu umwambie "ili niamini umerudi na hutaniacha tena au hujarudi kimaslai beba mimba yangu kwanza nitakua tayari kwa lolote kwako" akikubali muende mkapime afya kwanza, baada ya kubeba mimba na ikafika miezi 4 hadi 5 umpotezee mazima, hiyo shurba atakayopata wakati wa kulea mwana ndio atakumbuka vizuri umuhimu wako.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Endelea kua na huruma tu mwisho wa siku uje tena na litred hapa unalialia,Siwezi kutesa kiumbe ambacho hakina hatia
Asante sanaa mkuu kwa ushauri wakoachana nae mkuu atakuletea mikosi tu kaka biashara zako zinaweza zikaaharibika bure
kuna watu wana nuksi Sana
Laana kivipi mkuudelete her my friend......laana nyingine tunazinunua wenyewe...
Hahaaa....condom zipoHapo lazima akuwekee mtego wa mimba, na ukinasa tu hauchomoki.
Zana zipoJidai na yeye ajilengeshe mimba kilanga kikuishe