BEST ONE BOY
JF-Expert Member
- Mar 21, 2017
- 309
- 221
- Thread starter
- #61
Sawasawa chiefMkuu hongera kwa hiyo plan ya kisasi ila kumbuka huwa kina tabia za aina yake, either kikampata yeye kama ulivyokusudia au kikakurudia wewe mwenyewe au wote kwa pamoja.
Note: Kwa uelewa wangu na kuona kwangu watu wa hivyo huwa wanakuja kuwa wazuri sana na waaminifu sana katika mahusiano walio wengi. Hivyo unaonyesha dhahili kwamba unahitaji bado kitu kutoka kwake, Hivyo basi nendeni mkapime then mchukulie kama mtu wako wa karibu anaweza kukufaa badae au Achana naye kabisa bila hata kumsogelea kwa namna yoyote epuka laani zisizo na msingi kwa hao watu, coz ni wadhaifu sana kutokana uumbaji wao na wamerindwa sana katika dini zote kuwaheshimu kama walivyo.