Powell Gonzalez
JF-Expert Member
- Jun 28, 2023
- 1,627
- 2,952
Garage yako iko wapi boss? Maana huwezi kunambia Huna GarageUshauri wa bure, anza kujua na kutafuta mafundi na fundi wa fundi wako hasa kwa BMW, bora benzi na VW kidogo.
Ishu nyingine tafuta Maduka ya spare OG, anza kutafuta na kuwa na urafiki ma watu wa chuga kwa urahisi wa spare kutoka kenya.
Ila ukiongelea stability, comfortability ni European car. Toyota ni hali tu ya maisha na mafundi inakwamisha na nyingi kuozea garage.
Hata huo usafiri sina mkuu, sasa naanzaje kujua hizo garage.Garage yako iko wapi boss? Maana huwezi kunambia Huna Garage
ππππHata huo usafiri sina mkuu, sasa naanzaje kujua hizo garage.
Kuna babu baiyu, sema now kazeeka na vijana wake wanazingua
Azizi umeme kama mjanja mjanja
Eeeh huo ndio mpango, mjerumani ni kwa ajili ya kuvimba tu akafu ntatafuta m-UK mmoja wa kumbuluzaHakikisha unampata mjerumani mwenyewe, na ukamchukulie huko ujerumani, usikubali upewe mke mjerumani hapa tanzania itakula kwako, ni bora mwajuma ndale ndefu..
Ukimpata mjerumani aliyetulia aahh, mbona we huna shida ya kugongewa na fundi nyundo, Au lah tafuta na mchepuko wa kijapan au kichina π€£π
D mbiliWake Au Magari?π
Tangu lini gari linaolewa?
Sababu linakula hela ya matumizi kwa njia ya mafuta na service kama mkeo.Wake Au Magari?π
Tangu lini gari linaolewa?
Mchepuko wa kichina atakutana na bikra au mapenzi FAKE hukoHakikisha unampata mjerumani mwenyewe, na ukamchukulie huko ujerumani, usikubali upewe mke mjerumani hapa tanzania itakula kwako, ni bora mwajuma ndale ndefu..
Ukimpata mjerumani aliyetulia aahh, mbona we huna shida ya kugongewa na fundi nyundo, Au lah tafuta na mchepuko wa kijapan au kichina
π πSababu linakula hela ya matumizi kwa njia ya mafuta na service kama mkeo.
Ahsante umemueleweshaSababu linakula hela ya matumizi kwa njia ya mafuta na service kama mkeo.
Ongea na Jux akupe connection ya kudaka Nigerian celebritiesWAKUU mi miniunganishie kwa yule demu WA nijeria anaitwa temz ni msanii wallahi namkubali SANA ana weusi WA kahawia alafu Hana mambo mengi nipen kodi WAKUU. KUHUSU maisha Mimi ni mlala hoi TU WAKUU hum hapashindwi KITU nawasilisha
Hahahahahaha HUYO hawezi unganisha najipanga nianzishe operation KWENYE ukurasa wake WA IG tutaelewana TU taratibuOngea na Jux akupe connection ya kudaka Nigerian celebritiestena now ni easy tu si mashemeji zetu..