Lazima Lowassa ashitakiwe kwa Ufisadi!!

Chadema haiwezi tena kua chama cha upinzani..kitabaki tu kua chama cha maandamano na fujo za kutafta kick mtaani
au dampo la kupokea uchafu wa ccm.lazma ashitakiwe mbivu na mbich zijulikane..
 
Chadema haiwezi tena kua chama cha upinzani..kitabaki tu kua chama cha maandamano na fujo za kutafta kick mtaani
au dampo la kupokea uchafu wa ccm.lazma ashitakiwe mbivu na mbich zijulikane..

Umeingia mzima mzima ,sasa utajitetea vipi !!!..
 
Maneno yako matamu sana mkuu..keep it up! Napena mtu anapoongea awake REF ..sio mtu anajrna hoja kutokea kwenye nywele[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]

Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
 
Kujifanya kwenu kujua kumesababisha mitambo isiwe ya kwenu,muliambiwa nunueni mudai mitumba,marekani wameweka mkwanja,umeme ni kwa mizani tu mtanunua.
 
Umeandika ukiwa umetawaliwa na chuki binafsi,we umemuona ENL peke yake,umemuacha aliyekua na mamlaka juu zaidi na ambae ndie aliipokea Symbion,JK.Mtaumbuka wenyewe

Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app
 
Labda iwe matumizi ya mahakama hiyo yaanze kutumika tangu kuanzishwa kwake kwa kuangalia makosa ya kuanzia utawala wa aliyeianzisha.... Maana kama itaangalia makosa yote hata yaliyotokea kabla ya kuanzishwa mahakama hiyo.. Basi kuna kundi kubwa sana hapo litaunganishwa.... Maana ufisadi wa nchi hii unafanywa kwa teamwork..... Ngoja tuone..

Sent from my HUAWEI G750-U10 using JamiiForums mobile app
 
Hamna kitu km hiko koz akimpeleka Lowassa wengi watafuata hata huyo huyo alompoint out Makomeo atafungwa pia?? Acheni ndoto za alinacha

Sent from my GT-I9500 using JamiiForums mobile app
 
Kwani hii nchi tangu imeanza fisadi wa kwanza ni lowassa mpk aanze yeye kupelekwa mahakamani?????au kwa sababu amehama chama???kwani ndani ya ccm mafisadi hakuna mpk leo????
 
Unawatafutia matatizo wale unaodhani wapo salama kwa hli zakumuandama EL. Kabla hujaropoka muulize mzee wa msoga kwanin amelikalia kimya hili jambo, jibu utakalo pata utaomba upewe uhamisho ukakae sayari nyingine.
 
Hakuna wa kumpeleka mahakamani,,kwa sababu hawana hoja za msingi ingekuwa ni fisadi sasa hivi angeshawajibishwa.
 
Nyie mnaolopoka vile mna ushahidi au mnajifurahisha tu we ni mtanzania chukua jukumu LA kumshtaki utasikilizwa unawategemea wampeleke wameshindwa mpelekeni nyie sasa.....tulizeni munkari sidhani kama mnajua hii issue kwa undani.
 
Kumbe unashauri? Sasa unashauri na kichwa cha habari kinasema NI LAZIMA?[emoji23][emoji23] umejitahidi kiasi kuandika lakn ni upuuzi mtupu! Kuna mafisadi papa na bado wapo kila kona ya nchi, hujawasemea! Mnamwogopa sana lowassa nyie ccm!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Zamu hii mtaisoma namba!!! Tanzania bora inakuja!
 
Huyu jamaa afikirii na hajui kma casa ni uchawi so acha kurudisha mmbo yalio pita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…