Lazima Lowassa ashitakiwe kwa Ufisadi!!


Vipi kama Rais mstaafu ana kinga kisheria?

Acheni hizo; mnashindwa kujiuliza kwa nini Lowassa anaunga mkono kasi ya Magufuli? Anajua hatma yake kisiasa kwa sasa ipo mikononi mwa Magu...
 
Akikamatwaaa Lowassa navua nguo zote sitovaa tena nguo mpaka nakufa


Weka akiba ya maneno. Kuna mwenzio alijiapiza hapa kuwa Zitto hawezi kushinda ubunge 2015. Kaingia mitini hajaonekana kwa ID ile humu JF.
 
Unaweza ukawa na POINT lakini unapotaka kutuaminisha FISADI ni mmoja unakosea.... Baada ya yeye kuondoka serikalini hakujafanyika UFISADI..??

ESCROW amehusika EL?
Ningeelewa kama ungesema wote washitakiwe
 
haendi popote

wapelekwe wooooooootehao hapo juu
 
Makaburi ya zamani yaachwe...watalia wengi
 
Imagine unampeleka Lowassa Mahakamani halafu anapata Mawakili huku Lissu kule Kibatala
Hahaa haa haaa, Siasa ni mchezo wa ajabu sana, wee humuoni hata Magu kazigusa ofisi kibao kwa ufisadi lakini watu wa Tanroads, TBA na Wizara ya Ujenzi mpaka sasa zinaonekana hazijawahi kuwa na makosa yeyote ya Kifisadi
 

Zengwe la kisiasa hasaaa!

Halafu hawa proCCM wanaopiga kelele humu wanadhani EL ni mjinga na mwendawazimu asiyejijua!!

Wakuu wa UFISADI wa CCM wa pahali pa patatifu pa watakatifu wanajua hilo na kamwe hawawezi kuingiza vichwa vyao kati kati ya mzinga wa nyuki kamwe!!
 
Mtoa post acha unazi umesha ambiwa wastaafu wote watalindwa kuna mini tena,?mwacheni mzee wa watu apumnzike msitake kufufua makaburi.yapo ya akina epa ,lugoda,melemeta,escrol hadi akina chavda kama unakumbukumbu,lugumi.zote hizi ni eddo au why eddo than others au jicho lako Luna site upande mmoja tu.usifukue makaburi.yatakayoiba sasa ndo yashughulikiwe
 
Mtoa post acha unazi umesha ambiwa wastaafu wote watalindwa kuna mini tena,?mwacheni mzee wa watu apumnzike msitake kufufua makaburi.yapo ya akina epa ,lugoda,melemeta,escrol hadi akina chavda kama unakumbukumbu,lugumi.zote hizi ni eddo au why eddo than others au jicho lako Luna site upande mmoja tu.usifukue makaburi.yatakayoiba sasa ndo yashughulikiwe
 
Ndugu umekulupuka usingizini kalale uendele kuota kama kampuni feki mbona mitambo yao inazidi tumika kufua umeme na hata zabuni zkitolewa kwa wawekezaji ili kufua umeme wanatumia mitambo yao ndo swali ujiulize hapo kuna mengi Me naona Tuanze na Chenga mzee wa vijisenti ni hayo tu kila dili kacheza utajiuliza kaweza kudalalia taiga kuna sakata LA rada ya taifa na mengine tuanze mwanzo Ila na Fulani niliposikia kauli moja ikisema wewe ntakulinda kwani ni jukumu langu ondoa wasiwasi hapo tambua wanalindwa wote mikataba yao inayowekwa ni sawa na mkataba ya yanga tu kukodisha timu sasa wengine wameshakodisha taifa.

Sent from my nokia note3+ using JamiiForums mobile app
 
Tumezichoka hizo porojo kila siku hakuna kinachoendelea zaid ya kutufanya ngaz ya mafanikio kisiasa
 
Waanze na Change kama walipewa zuio la kudumu LA kutomshitaki na kumhoji kamati ya maadili,wataweza kwa Lowassa?
 
Ndiyo maana sisi wengine ambao tunaiona hii serikali ni Imara tunaihamasisha wampeleke Lowassa kwenye Mahakama ya Ufisadi, kinyume cha hapo wakae kimya!!
kuna watu ambao wamedalalia taifa ili kila dili yupo kwanzia ya mwaka 1999's mpaka tegeta escrow uko hao ndo wakudili nao alafu ukizungumzia swala kama ilo ondoa ukada weka pembeni zungumza kwa niaba ya taifa zima tuwakilishe bila kuangalia chochote kilee dini au uchama .

Sent from my Samsung galasa[emoji12] + using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…