Maua kilasa
JF-Expert Member
- Aug 6, 2016
- 1,040
- 561
Tafsiri ya ulichokiwasilisha likely ni hiki;
Kama kampuni ya Richmond ilikuwa ya mfukoni isiyo na ofisi wala uwezo, mbona mpaka leo hii mitambo yake imetoka kuwa ya Richmond > Dowans > Symbion inazalisha umeme na TANESCO inanunua na capacity charge inalipwa??
......Hili haliwezekani, ni lazima Edward Ngoyai Lowassa ni fisadi kupindukia na chanzo cha matatizo yote ya wa - Bongo woote na sharti awe wa kwanza kusimama kwenye kizimba cha mahakama ya mafisadi wa Magufuli!!
Kweli nyie ni vi laza sana maana hamjui hata kuwa hii mahakama itamuaibisha JK. Wallah naapia akiitwa Lowassa huko ndo itakuwa mwisho wa hiyo mahakama. Maana Lowassa atatoa ushahidi wote na namna JK alivyokuwa anamwelekeza kuvunja sheria. Let us wait and seeMANENO YA MWAKYEMBE ALIPO HOJIWA KUHUSU SAKATA LA RICHMOND
July 21 2016 Waziri wa katiba na sheria, Dk. Harrison Mwakyembe alikuwa akihojiwa katika kipindi cha Clouds 360 cha clouds TV na kujibu maswali mbalimbali yanayohusu katiba na sheria na hili sakata la Richmond likagusiwa.
Mtangazaji wa clouds TV, Hudson Kamoga alimuuliza Waziri mwakyembe kuhusiana na sakata la Richmond wakati akiwa mwenyekiti wa kamati iliyokuwa inachunguza sakata hilo ambapo walikuja na ripoti ambayo ilipelekea aliyekuwa Waziri mkuu kwa wakati huo, Edward Lowassa kujiuzulu. Hudson ametaka kujua kama kuna mambo ambayo watanzania hawakuyajua kuhusu sakata la Richmond
Waziri Mwakyembe amesema ….>>>‘kesi ya Richmond tuliifanya kwa roho safi na kwa kupiga magoti kwa Mungu na tuliifanya haki kwa kila mtu tulichoamua hata tuamue kesho asubuhi nirudie tena hata koma haitabadilika itakuwa vilevile na mimi nitafurahi sana’
>>>’chini ya kanuni tunaruhusiwa kuifufua tena Richmond ili ichunguzwe upya na ninaaapa wanaweza wote wakahama wakaniacha peke yangu na uhakika mimi mwenyewe nilichonacho nitajenga hoja sidhani kama kuna mtu hata mmoja atasalimika kwenda jela‘
Afu hii lugumi ya juzi hii?Nataka Lowassa apelekwe mahakamani. .full stop.
Unawacumbua woga tu hakuna lolote hapoKwa nini sasa wanaendelea kumsakama?
WanamuogopaKwa nini sasa wanaendelea kumsakama?
Lyt = right. Usiharibu lugha kwa makusudiYour lyt Lowassa lazima akamatwe
Kashfa ya uuzwajibwa nyumba za serikali nadhani hawataisemaCCM Acheni siasa za kupandikiza chuki.wote tunajua kama mahakama ya mafisadi ikifanya kazi yake hakuna atakayepona ata uyo mnaemuita chaguo la mungu.
Wakwanza atakuw jk hapo!MANENO YA MWAKYEMBE ALIPO HOJIWA KUHUSU SAKATA LA RICHMOND
July 21 2016 Waziri wa katiba na sheria, Dk. Harrison Mwakyembe alikuwa akihojiwa katika kipindi cha Clouds 360 cha clouds TV na kujibu maswali mbalimbali yanayohusu katiba na sheria na hili sakata la Richmond likagusiwa.
Mtangazaji wa clouds TV, Hudson Kamoga alimuuliza Waziri mwakyembe kuhusiana na sakata la Richmond wakati akiwa mwenyekiti wa kamati iliyokuwa inachunguza sakata hilo ambapo walikuja na ripoti ambayo ilipelekea aliyekuwa Waziri mkuu kwa wakati huo, Edward Lowassa kujiuzulu. Hudson ametaka kujua kama kuna mambo ambayo watanzania hawakuyajua kuhusu sakata la Richmond
Waziri Mwakyembe amesema ….>>>‘kesi ya Richmond tuliifanya kwa roho safi na kwa kupiga magoti kwa Mungu na tuliifanya haki kwa kila mtu tulichoamua hata tuamue kesho asubuhi nirudie tena hata koma haitabadilika itakuwa vilevile na mimi nitafurahi sana’
>>>’chini ya kanuni tunaruhusiwa kuifufua tena Richmond ili ichunguzwe upya na ninaaapa wanaweza wote wakahama wakaniacha peke yangu na uhakika mimi mwenyewe nilichonacho nitajenga hoja sidhani kama kuna mtu hata mmoja atasalimika kwenda jela‘
Kidu uwezi mkamata MTU mmoja kwa kesi nzito kama ile.huo utakuwa uonevu lazima kuna kitu NYUMA YA MAPAZIA.Kashfa ya uuzwajibwa nyumba za serikali nadhani hawataisema