Lazima heshima irudi

Na mimi ni kaka ake mkubwa io huduma ifike na huku isiishie kwa baba tu lazima utupe familia nzima.
 
Hivi wewe ni ke au me?
 
Wewe ni DANGA uliyetukuka...
Una akili ndogo ndo mana jamaa yako na rafiki yako wakakunzukuka
 
Tena ukienda hakikisha mpaka anakuamkia....sugua mpaka itoke damu!
 
Huoni kama hautakuwa unamtendea haki huyo mzee kwa kosa la mwanawe?
 
hawa wadada sometimes wana.maamuzi magumu sana na ni ngumu kumeza sijui nani yupo nyuma ya maamuzi yao anyway ukishadate na huyo kikongwe hebu njoo kwangu nami nivunje kibubu.

Sasa hapo kutakua na tofauti gani kati ya mamuzi yako na maamuzi yake mkuu?
 
Mwaka jana ulikua na miaka 32. Kwa akili hii utakuwa ushaliwa sana ndo maana jamaa kaamua kusepa mapema.
 
Huyo ex wako ana bahati sana, bora amekuacha!! Hufai.
 
Faida kwao kwani ndani ya familia moja utakuwa umevuliwa pichu na watu wawili huoni wao yaani MTU na baba ake ndio watakuwa washindi katika pambano hili...?? Maana utakuwa ushaonjwa na watu wawili was familia moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…