Na baba yake akikuudhi mpe kaka yake ili uendelee kuongeza idadi ya wanamme. Kweli wewe ni malaya uliyekubuhu. Safi sana.Nimeachana na mpenzi wangu baada ya yeye kutoka kimapenzi na rafiki yangu na nilimuahidi sitalipa kisasi kwa rafiki yake wala ndugu yake yoyote ila ni lazima nitembee na baba yake ili heshima irudi.
Sasa Mungu alivyo mwema nimekutana na baba yake kwenye mtandao mmoja wa kijamii akanitumia friend request nikachati naye mwisho wa siku mzee kaomba namba nami nikampa, Jumamosi hii tumepanga kuonana, nimeapa lazima nimpe 'k' yule mzee ili kijana wake ashike adabu.
Leo nimemtumia namba ya baba yake ananibembeleza nimwambie nilikoitoa na nimemjuaje baba yake nataka siku nimshangaze kwa kumtumia picha ya baba yake akiwa mtupu kwani dawa ya moto ni moto.
Yaani we ndo umempa ushauri mzuri. Kama hataufuata shauri yake.Bigdada , hapo haurudishi heshima, unaipoteza kabisa. Vilevile haumkomoi mtu, unajikomoa mwenyewe.
Aina ya kisasi unachotaka kukitekeleza unaweza kuja kukijutia maisha yako yote, unajua huyo jamaa nae atachukua hatua gani baada ya hilo tukio?
Kama mapenzi yamefika mwisho, endelea na mambo mengine tu, atatokea mwingine mtaendeleza maisha, usiharibu future yako bure rafiki.
ahaaaaaaHata mimi ni baba yake wa kambo, ukimaliza huko uje na kwangu tumtie adabu huyo mwanangu mwehu.
Nimeachana na mpenzi wangu baada ya yeye kutoka kimapenzi na rafiki yangu na nilimuahidi sitalipa kisasi kwa rafiki yake wala ndugu yake yoyote ila ni lazima nitembee na baba yake ili heshima irudi.