Lazer phone imetoka

Jmwasele

Member
Dec 28, 2015
78
20
Habari zenu wanaforum

Kwa wale wapenda games kwenye simu, Shujaa amekuja. Kampuni iliyokuwa ime base kutengeneza Gaming Laptops "LAZER" Imeingia rasmi kwenye soko la smartphone na simu yao mpya iitwayo "LAZER PHONE". Simu hii inauwezo mkubwa katika gaming kuliko simu yoyote duniani kwa sasa.

You can check it Gsmarena.com For more info
 
Ni Razer mkuu sio Lazer. na si kweli kwamba ndio simu yenye nguvu zaidi,

simu yoyote yenye kioo cha 720p na sd 835 ndio inakuwa na nguvu zaidi. hivyo xperia xz1 compact inastahili hio tuzo.
 
Ni Razer mkuu sio Lazer. na si kweli kwamba ndio simu yenye nguvu zaidi,

simu yoyote yenye kioo cha 720p na sd 835 ndio inakuwa na nguvu zaidi. hivyo xperia xz1 compact inastahili hio tuzo.
Ahsante kwa kunirekebisha. Ila nimezungumzia kwenye gaming ndo Kubwa lao Gsm arena wameandika vizuri kacheki
 
Back
Top Bottom