Lazaro Nyalandu vs Khamis Kagasheki vs Government Policy

Dah, Ndugu Zema21. Bora umenishtua maana nimeingia chaka.

Ila nina mashaka na TANAPA kuhusu magari kuingia bila kulipa entry fee???

Huko TANAPA pia kuna network mbaya ya watu wanaomsaidia Ahsante Tours na informa wa Ahsante.

Pia kwa nini Nyalandu amtetee Ahsante tours????

Nimesoma maoni ya watu wote na nimejifunza. OK
 
Zamani kulikuwa na semina elekezi lakini mheshimiwa raisi alivoona hata haifanyi kazi yeyote ameumua kuachana na semina hizo elekezi kila mtu alete ujuzi wake na sio spoon feeding kama zamani
 
SAKATA la Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu kudaiwa kuingilia utendaji wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) kwa masilahi yake binafsi limezidi kuchukua sura mpya.
Safari hii, Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira, James Lembeli ameilipua Kampuni ya Ahsante Tours ambayo Waziri Nyalandu anadaiwa kuikingia kifua.

Lembeli ambaye pia ni Mbunge wa Kahama (CCM), aliilipua kampuni hiyo mbele ya Waziri wa Utalii, Balozi, Khamisi Kagasheki na kudai kuwa kampuni hiyo imekubuhu kwa kupitisha wageni kinyemela.

"Hii kampuni ndio notorious(imekubuhu) kwa kuiba njia… wanaoingiza watu kinyemela huko ndani na Tour Operators (kampuni)zingine

My take to this:

Nyalandu yako mengi tutayafahamu kupitia sakata hili ulilolianzisha na fahamu tu ya kwamba ni moto umeuwasha na utakuangamiza. Subiri tuone mwisho wake.
 
Zitto,
Mashirika ya UMMA yahame kutoka kwenye usimamizi wa wizara mbalimbali. Vinginevyo kila waziri na naibu atakayeteuliwa au kuhamishiwa wizara flani breki na njaa yake ya kwanza atataka imalizwe na mashirika haya. Hatutafika.

mkuu WildCard, unamaanisha Zitto huyu huyu tunayemjua mbunge wa Kigoma Kaskazini kwa tiketi ya CHADEMA au? Kama ndiye huyu jamaa na yeye na TANAPA kuna ufisadi kila mara nimesema hapa huwa anatumia ndege ya TANAPA kama nani? ilipeleka wabunge kigoma kwenye tamasha la kigoma all stars, iliwahi kumpeleka mama yake Zitto kigoma kutokea Dar na ikamsubiri alipomaliza shughuli zake ikamchukua na kumrudisha tena Dar, aje hapa akanushe hili...... sasa huyo ndo unategemea leo aende akawatolee makucha TANAPA?? Subutu yake!!
 
Last edited by a moderator:
Takukuru isiishie ktk kuchunguza kufungiwa kwa Ahsante Tours tu ndani ya Tanapa. Iangalie ndani zaidi kuhusu namna wanavyotoa tenda ktk Shirika. Ni kweli wakuu wengi wa Idara hapo Tanapa makao makuu wana kampuni zao, na wanapotangaza tenda ni kama danganya toto tu. Kwani tayari wanakuwa wameshapanga ni nani atachukua tenda hiyo miongini mwao. Bahati mbaya huwa najizuia sana kutaja majina ya watu, lakini wababe hao wawili ndiyo wahusika wakuu wa mfumo huo na hata Mkurugenzi mkuu hana sauti kwao kwa sababu ya ukwasi walio nao. Kifupi ni kwamba si rahisi kupata tenda hapo Tanapa kama haumo ndani ya system.

Kaka usiogope kuwataja nakusaidia ni matolo na chitanda ndo wana kampuni zao zinazo chuku a tenda za tanapa na hilo liko wazi na hata kijazi awezi zungumza kitu juu ya hawa jamaa pale tanapa
 
mkuu WildCard, unamaanisha Zitto huyu huyu tunayemjua mbunge wa Kigoma Kaskazini kwa tiketi ya CHADEMA au? Kama ndiye huyu jamaa na yeye na TANAPA kuna ufisadi kila mara nimesema hapa huwa anatumia ndege ya TANAPA kama nani? ilipeleka wabunge kigoma kwenye tamasha la kigoma all stars, iliwahi kumpeleka mama yake Zitto kigoma kutokea Dar na ikamsubiri alipomaliza shughuli zake ikamchukua na kumrudisha tena Dar, aje hapa akanushe hili...... sasa huyo ndo unategemea leo aende akawatolee makucha TANAPA?? Subutu yake!!

Na kuunga mkono kaka hii nchi ilipofikia ni msaada wa Mungu juu ya watanzania lakin bila hivyo tumekwisha kuna mengi sana ambayo yakiwekwa wazi kwa watanzania kikwete atakimbia ikulu mwenyewe bila kupenda kuna watu wachache sana ndo wanafaidi matunda ya nchii hi, inauma sana yan sana
 
Last edited by a moderator:
Naona kama kawaida magazeti ya yetu yameamua kuinyonya hii habari toka JF na kuitundika kama yao bila ku acknowledge source
 
Mheshimwa Nyalandu, msaidizi wake, au rafiki yake wa karibu anipe email au namba yake ya Simu. Anayemchafua yuko ndani ya CCM na ni mtu mwenye cheo ndani ya serikali.....100 sure%

Nawaombeni mnifikishie huu ujumbe kwa Mheshimwa Nyalandu Please !
 
You sound so bitter and personal; unneccessarily too long and winding!! una bifu gani na waziri Nyalandu?! kumbuka Nyalandu alikuwa trade wakati Maige anapiga ban ile! na hajawahi kuwa deputy wa Maige kusema kwamba labda walishare notes wakati huo; why all this bitter and acidic language na kashfa nyingi!!

Kwa nini usimpe Nyalandu the benefit of the doubt kwamba inawezakana Maige alipiga ban lakini hakuirasimisha (formalize) na kwa hiyo hakuna document pale wizarani to that effect! Nyalandu aote?!! Maige mwenyewe alikuwa aina ya mtu wa ku-shoot kwanza na kulenga baadae; kama unauelewa huo msemo?!

Why dont you get bold and seek audience na Waziri ili afafanue! msaidie kama unaona amekosea sio kumkashifu as a person! CV yake has nothing to do with your concern! Stop being judgmental and self righteous; you are not st Jibril!! you have no monopoly of facts and data.!

Nadhani tufike mahali kwenye jamvi hili tujifunze ku-argue na sio ku-shout! vitriol and name calling does not pay wala haisaidii nchi yetu kusonga mbele, we all stand to learn from each other; tusemezane na kuelimishana ili tutengeneze a win win situation, kila mmoja wetu anufaike na mijadala mbalimbali inayokuwa posted kwenye jamvi hili.
Wasaalam and Stay blessed !
Mkuu MTK, hii ni vita ya 2015!. Hawa vijana sasa wanaanza kulana wao kwa wao!, Nyalandu anasemekana yuko fit kwenye kujiposition bila kuegemea sana upande wowote, kinachofanyika sasa ni kuanza elimination process kwa kumpopoa hapo alipo. Kwa vile namfahamu fika huyu George Smilley ni nani, niliposoma tuu headline, nilielewa!.
Nashukuru na wewe umelitambua hilo kuwa this is "character assassination" kutaka kummaliza Nyalandu ili kudistabilize team yake na waould be his position apewe yule kijana mwingine!.
Politics is real a dirty game indeed!.
P.
 
Pasco

mimi sipendi na si shabiki wa hizi petty politics

nilichokileta ni kuonyesha jinsi gani waziri wa serikali hii wana fanya kazi kwa kuwa na policies 2 tofauti

sijui kama huyo Nyalandu anataka kuwa president na hakatazwi kama Mtz yoyote yule.

I wish unde address issues nilizoziraise kwenye post yangu ya kwanza badala ya kunishambulia na kuniunganisha na makundi ya watu ambao wewe na mimi tunajua are good at nothing.
 
  1. Kama kawaida ile anatomy of stupidity toka kwa mawaziri wetu inaendelea.
  2. Katika vitu ambavyo waziri Lazaro Nyalandu amekuwa gifted navyo naweza kusema kuwa ni memory loss.
  3. huyu waziri hajui policy ya serikali ambayo yeye ni mtumishi wake.
  4. Nyalandu (najua ni msomaji sana wa JF) umesahau kuwa waziri wa Utalii aliyeondolewa ndugu Ezekiel Maige mwaka jana alizuia developments zote katika hizo national parks?
  5. Sasa kwenye barua aliyoandika Nyalandu kwenda kwa wawekezaji (wa ndani na nje) amewashutumu kuwa hawana lolote zaidi ya ku sabotage uchumi wa Tanzania.
  6. Hivi inawezezakana vipi huyu Nyalandi na nafasi aliyonayo asijue policy ya serikali, na hususana wizara yake?
  7. Hivi Nyalandu hana wasaidizi ambao wangempa taarifa kabla ya kuandika hizi barua za kutisha wawekezaji? How daft kama a deputy minister be?
  8. I seriously doubt akikaa kwenye Cabinet kama huwa anasema kitu huyu
  9. na sasa nishajua kwa nini hakuwa promoted kuwa waziri kamili.
  10. Inavyoonekana huyu Nyalandu hajui kinachooendelea ofisini/wizarani kwake.
  11. So what is Lazaro going on about?
  12. if anyone smacks of sabotaging investors it is him with such thoughtless utterances.
  13. If anything he should apologize to the investors and the nation for committing such blunders.
  14. Im sure his peers kule Waldorf College watakuwa so dissapointed na huyu jamaa.
  15. Cha kujiuliza alikuwa wapi wakati maige amepiga marufuku wa ujenzi wa camps na lodges kwenye hizi national parks?
  16. Huyu ni waziri of the so called wamawaziri vijana ambaye bado ana investment mentality ya ki 1970's ambayo hayana nafasi kwenye dunia hii ya 2012.
  17. Kila kukicha Nyalandu yuko kwenye maonyesho ya kuvutia watalii Tanzania toka alipokuwa wizara ya biashara halafu hao watalii wakija wanaanza kupewa mixed signals na the likes of Nyalandu ambaye haijulikani anatekeleza sea ya chama kipi na serikali ipi.
  18. Hii ni typical stupidity from our politicians ambao hawako consistent na kwenye utekelezaji wa hizi policies.
  19. Hivi Nyalandu kashajua repucursions za hawa wawekezaji wakienda kushtaki for the investment, loss of income and profit for the duration for which the concession is valid kule East African Court of Justice?
  20. Je wakishinda compensation atatoa mfukoni mwake au walipa kodi wa kawaida ndio watakatishwa?
  21. Sijajua kama Waziri Kashasheki kashamsomea huyu depututy wake (Lazaro) the riot act
  22. Lazaro aandike barua ya kujieleza
  23. kama anaweza kukumbuka kupost mapicha yake na status zake kwenye Twitter anashindwa vipi kujua kuhusu policy ya ndani ya wizara yake?
  24. BTW here below ndiyo CV ya LAZARO NYALANDU
​Mkuu George Smiley, katika bandiko lako umeweka hoja 24 ambazo ni personal kumhusu Lazaro miongoni mwake ni kumtukana stupid, gifted kwenye memory loss, daft, akikaa kwenye cabinet ni kimya, unamjua sana mpaka sababu za kutopewa full ministerial!, he gives such thoughtless utterances na aapologize kwa such blunders, uko sure, his peers kule Waldorf College watakuwa so dissapointed, unamtaja kama waziri of the so called wamawaziri vijana ambaye bado ana investment mentality ya ki 1970's ambayo hayana nafasi kwenye dunia hii ya 2012, Kila kukicha Nyalandu yuko kwenye maonyesho, Nyalandu ambaye haijulikani anatekeleza sera ya chama kipi na serikali ipi, Hii ni typical stupidity from our politicians ambao hawako consistent na kwenye utekelezaji wa hizi policies, umezungumzia mpaka picha anazipost kwenye status yake na kuziita mapicha, na mwisho ukamalizia na kuweka CV yake!, hivi yote hayo ni kwa ajili ya hiyo barua tuu?. Hivi kumbe barua ikiandikwa na waziri, ndio inageuka government policy?. Kumbe ukifanya blunder non academic, utawadisapint uliosoma nao?!, baada ya kutukana, shutuma na tuhuma lukuki, ukamalizia na kupate CV yake ili watu waone quetionable academic qualifications!, ndio maana nikakuambia hii ni character assasination ili kupunguza kazi yake ya 2015. Tena bandiko lako mpaka linaonyesha unamuonea wivu kuzungumzia picha zake za status yake, always yuko very smart, beautiful wife, good house, good car, good family, wewe unayaita "mapicha"!.

Kwa wale mliowahi kuusoma mchango wa Mawado kuhusu huyu waziri, alipotokea, his life in America, elimu yake ya kuunga unga, his EOTF connection mpaka kupata ubunge na sasa ni DM, mtakubaliana na mimi jamaa ni very smart!, na kwa mwendo huu, kumpikia majungu, wivu, fitna etc etc hazitasaidia kitu as of now!, ni kujipotezea tuu muda, saa hizi yuko kwenye runway, wameisha fasten the seat belts tayari ku fly kuelekea 2015!. Sorry its too late now too little to stop the flight!. Pole!

But you Mkuu George Smiley...you also stand a better chance to...
P.

Watu hawajui tu........Hakuna Wizara ngumu kama ya Utalii toka tuingie kwenye soko huru.
Bahati mbaya sana imeanza kusikika hivi karibuni.
Kifupi hii Wizara na wanaohudumiwa na Wizara hii (Mahoteli, Wawindaji n.k) kuna Mafia ndani yake.

Na akina siye makabwela ni kushabikia Mawaziri wanaoshughulikiwa na hawa watu ndiyo kazi yetu. Na tazameni akiingia Waziri mla rushwa sugu na ambaye ni Mafia pia hamtasikia sauti yeyote wala habari kutoka Wizara hiyo, na mtaona poa tu maisha yanaendelea.

Lakini wakitokea wachimvi na wazalendo (angalau kiasi) na wakafanya kazi .....kila kashfa kuwahusu mtazisikia na siye akina Kabwela ndiyo tutakuwa wa kwanza kusema .............Waondokeee!!

bila shaka yana ukweli haya
 
[/FONT]
[/LIST]
​Mkuu George Smiley, katika bandiko lako umeweka hoja 24 ambazo ni personal kumhusu Lazaro miongoni mwake ni kumtukana stupid, gifted kwenye memory loss, daft, akikaa kwenye cabinet ni kimya, unamjua sana mpaka sababu za kutopewa full ministerial!, he gives such thoughtless utterances na aapologize kwa such blunders, uko sure, his peers kule Waldorf College watakuwa so dissapointed, unamtaja kama waziri of the so called wamawaziri vijana ambaye bado ana investment mentality ya ki 1970's ambayo hayana nafasi kwenye dunia hii ya 2012, Kila kukicha Nyalandu yuko kwenye maonyesho, Nyalandu ambaye haijulikani anatekeleza sera ya chama kipi na serikali ipi, Hii ni typical stupidity from our politicians ambao hawako consistent na kwenye utekelezaji wa hizi policies, umezungumzia mpaka picha anazipost kwenye status yake na kuziita mapicha, na mwisho ukamalizia na kuweka CV yake!, hivi yote hayo ni kwa ajili ya hiyo barua tuu?. Hivi kumbe barua ikiandikwa na waziri, ndio inageuka government policy?. Kumbe ukifanya blunder non academic, utawadisapint uliosoma nao?!, baada ya kutukana, shutuma na tuhuma lukuki, ukamalizia na kupate CV yake ili watu waone quetionable academic qualifications!, ndio maana nikakuambia hii ni character assasination ili kupunguza kazi yake ya 2015. Tena bandiko lako mpaka linaonyesha unamuonea wivu kuzungumzia picha zake za status yake, always yuko very smart, beautiful wife, good house, good car, good family, wewe unayaita "mapicha"!.

Kwa wale mliowahi kuusoma mchango wa Mawado kuhusu huyu waziri, alipotokea, his life in America, elimu yake ya kuunga unga, his EOTF connection mpaka kupata ubunge na sasa ni DM, mtakubaliana na mimi jamaa ni very smart!, na kwa mwendo huu, kumpikia majungu, wivu, fitna etc etc hazitasaidia kitu as of now!, ni kujipotezea tuu muda, saa hizi yuko kwenye runway, wameisha fasten the seat belts tayari ku fly kuelekea 2015!. Sorry its too late now too little to stop the flight!. Pole!

But you Mkuu George Smiley...you also stand a better chance to...
P.

[/SIZE][/FONT]
Hujajibu hoja ya msingi iliyoletwa ambayo ni yeye kama naibu waziri kutoa conflicting messages kwa investors juu ya uwekezaji kwenye mbuga za wanyama

Patiently waiting....
 
Hujajibu hoja ya msingi iliyoletwa ambayo ni yeye kama naibu waziri kutoa conflicting messages kwa investors juu ya uwekezaji kwenye mbuga za wanyama

Patiently waiting....
Mkuu George Smiley, nimekuuliza hivi barua ikiandikwa na waziri ndio inakuwa government policy?. Pia kuna issue nimekuuliza mbona huzijibu?, au nikuulize tena in point format?. Aliyetoa conflicting messeges ni nani?, yeye barua yake iko current, inafuta barua yoyote ya nyuma!. Kitu ambacho huwa najua, chochote ambacho naibu waziri anakifanya, lazima waziri wake anakijua!.

Naona hujaelewa point niliyoiraise.

Hebu rejea tena usome vizuri malalamiko toka kwa wawekezaji ni yepi juu ya hizo conflicting orders toka kwa Wizara, Nyalandu et al
 
Naona hujaelewa point niliyoiraise.

Hebu rejea tena usome vizuri malalamiko toka kwa wawekezaji ni yepi juu ya hizo conflicting orders toka kwa Wizara, Nyalandu et al
Nimekuwekea points 24 ulizoraise kuhumhusu Nyalundu, nikakuuliza zote zinahusika?, mbona kila nikukuuliza hujibu mkuu GS?. Nakiri mimi mzito wa kuelewa, ilana wewe unajua fika kilicho moyoni mwako!. Mbona you stand a chance bila hata hitaji la kumpull down mwenzio?!.

Sijakuelewa hapo unamaanisha nini? What chance of what? Can you be more precise?
 
Sijakuelewa hapo unamaanisha nini? What chance of what? Can you be more precise?
Anza na majibu haya, nami nitamalizia.
  1. Mkuu George Smiley, katika bandiko lako umeweka hoja 24 ambazo ni personal kumhusu Lazaro miongoni mwake ni kumtukana stupid, is he real stupid?.
  2. Is he gifted kwenye memory loss?
  3. Is he daft?.
  4. Ni kweli akikaa kwenye cabinet ni kimya?.
  5. Ni kweli unamjua sana mpaka sababu za kutopewa full ministerial?.
  6. Does he gives such thoughtless utterances?.
  7. Anatakiwa aapologize kwa nani for such blunders?.
  8. Ni kweli uko sure, his peers kule Waldorf College watakuwa so dissapointed?.
  9. Kumbe ukifanya blunder non academic, utawadisapint uliosoma na
  10. Ni kweli yeye ni so called wamawaziri vijana ambaye bado ana investment mentality ya ki 1970's ambayo hayana nafasi kwenye dunia hii ya 2012?.
  11. Ni kweli Kila kukicha Nyalandu yuko kwenye maonyesho?.
  12. Ni kweli Nyalandu ambaye haijulikani anatekeleza sera ya chama kipi na serikali ipi?.
  13. Ni kweli Hii ni typical stupidity from our politicians ambao hawako consistent na kwenye utekelezaji wa hizi policies?.
  14. Je picha anazipost kwenye status yake ni picha au mapicha?.
  15. What does his status have to do with the subject matter?.
  16. Mwisho ukamalizia na kuweka CV yake ya nini?.
  17. What does his CV has to do with the subject matter?.
  18. Hivi yote hayo uliyoandika ni kwa ajili ya hiyo barua tuu? au there is something more?.
  19. Hivi kumbe barua ikiandikwa na waziri, ndio inageuka government policy?.
  20. Nikisema hii ni character assasination, nitakuwa nakuonea?.

NB. But you Mkuu George Smiley...you also stand a better chance to...
P.
 
Back
Top Bottom