Michelle
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 7,621
- 3,514
Wewe ndo nyarandu nini?
Watu ka wewe mnakera,mtu akitoa comment tofauti na walio wengi,mnamuuliza au wewe ndo fulani?jifunzeni kuheshimu mawazo ya watu wengine.mi kila nikitoa comment against majority watu wanauliza ilo swali,nahisi mmezoea kufanya hivyo ndo walewale wenye majina kumi,wenzenu tuna jina moja na tunapenda kuwa hivyo.