Lazaro Nyalandu Vs John Mashaka/Mwanakijiji Mdahalo

Muke Ya Muzungu

JF-Expert Member
Jun 17, 2009
3,444
264
Waziri msaidizi wa viwanda anaonekana kuwaponda watanzania wanaoshi nje kutokana na haya makala haya hapa chini. Walionje kwa maana hiyo ni walamikaji tu hawana maana katika taifa la Tanzania. Tunaomba Huyu mweshimiwa awekwe kitimoto na Vijana wetu John Mashaka, Mwanakijiji au Nyani Ngabu. mnaonaje hili swala? Serikali ya Kikwete imejaa wapuuzi kweli, siamini Nyalandu kapata uwaziri, Ngeleja na Mahanga nao wamerudi. Tunaomba Mdahalo kati ya hawa vijana wetu na vhiyo vya Kikwete
(phD)

Sunday, 12 December 2010

James Magai

NAIBU Waziri wa Viwanda, Biashara na Masoko, Lazaro Nyalandu, amesema sehemu kubwa ya Watanzania wanaoishi nje ya nchi, wamekua walalamikaji tu kuhusu taratibu za uwekezaji, lakini hawachukui hatua.Nyalandu alitoa kauli hiyo wiki iliyopita, wakati akizungumza na Mwananchi baada ya kuzindua Kampuni ya Ndege ya Bold Air, inayomilikiwa na , John Ndunguru, Mtanzania anayeishi Marekani.

Uzinduzi wa kampuni hiyo, ulifanyika katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam.“Watanzania waache kulalamika tu kwenye mablog. Wengi wamekuwa walalamikaji tu, lakini hawachukui hatua,” alisema Nyalandu. Naibu wazkiri huyo aliwataka Watanzania hao, watumie muda wa kukaa kwenye mitandao, kuangalia taarifa zinazohusu fursa za uwekezaji zinazopatikana pia hata kwenye mtandao wa Kituo cha Uwekezaji cha Tanzania na kusaidia shughuli za uwekezaji hapa nchini.

“Kitendo cha kulalamika bila ya kuchukua hatua ni ishara kwamba wengi wao sio wabunifu. Nampongeza ndugu yangu John Nduguru, kwa kutumia fursa hiyo na kuanzisha kampuni hii,” alisema.
Nyalandu alimpongeza Ndunguru kwa uamuzi wa kuja kuwekeza nyumbani, jambo ambalo alisema litasaidia katika kuinua uchumi wa Tanzania.

"Pamoja na kwamba Ndunguru amekuwa akifanya biasharas zake nchini Marekani, lakini ameiona umuhimu wa kuwekeza nyumbani jambo ambalo litasaidia kuinua uchumi na kutengeza ajira kwa Watanzania wenzake," alisema Naibu waziri.Kwa upande wake, Ndunguru aliishauri serikali iangalie na kuzifanyia kazi changamoto mbalimbali za uwekezaji ukiwemo mlolongo mrefu kuhusu mchakato wa uwekezaji.

Alisema mchakato wa uwekezaji n chini ni mrefu, jambo linalowafanya Watanzania wengi walioko nje, wakate tamaa, na kwamba hiyo inachangiwa na tatizo la kutakiwa kutumia muda mrefu katika kumilisha taratibu za uwekezaji. “Tataratibu zetu bado ni ngumu, maana mtu anatumia muda mrefu na gharama na kubwa, jambo linalowakatisha tamaa Watanzania wengi kuja kuwekeza nyumbani," alisisitiza.

Alisema ameamua kuwekeza katika usafiri wa anga kwa kuwa kuna nafasi nyingi za kufanya biashara na kwamba wakati umefika kwa watanzania, kuachana dhana kwamba huduma ya usafiri wa ndege ni ya watu maalum tu na wenye fedha nyingi. “Zamani biashara hii ilitawaliwa na Wahindi na Waarabu ambao walitujengea hisia na dhana kwamba huduma hiyo ni ya gharama kubwa sana na kwa hiyo ni ya watu maalumu tu. Hii si kweli, hata Mtanzania wa kawaida anaweza kumudu gharama za usafiri huu,” alisema.

Kwa upande wake, Nyalandu alisema ni azma ya Serikali ya Awamu ya Nne, kuwaandalia Watanzania mazingira bora ya uwekezaji kama ambavyo imekuwa ikifanya, ili kila Mtanzania aliyeko nje na mwenye uwezo wa kuwekeza, aje kufanya hivyo.Alisema kwa sasa serikali iko katika mchakato wa kuangalia mfumo mzima wa kodi za uwekezaji, ikiwa ni hatua ya kuboreesha zaidi mazingira ya uwekezaji, ili kuwavutia wawekezaji wengi wakiwemo wazawa.Kampuni hiyo ya Bold imeingiza ndege mbili kwenye soko, moja ikiwa ni ya aina ya Cessna 310 na nyingine aina ya Seneca 1, zote zikiwa na uwezo wa kuchukua abiria sita kila moja kwa wakati mmoja.
 
hawezi kupambana na mwanakijiji hata kidogo. ni sawa na kulinganisha kichuguu na mlima kilimanjaro. nyalandu ni sawa na kichuguu kwa mwanakijiji na hao wanaJF wengine ulowataja
 
Mbona sioni habari yoyote kuhusu huo mdahalo na wala sioni mahala popote anapo tajwa John Mashaka?
 
Nyalandu ni mbumbumbu. Hawawezi hawa vijana damu moto. Huyu jamii aliyebaka mwanamke, hana uwezo wowote wa kifikra kupambana na Nyani Ngabu.
Vijana Kama
John Mashaka,
Mwanakijiji
Nyani Ngabu wapo karne ya 23 kwa Nyalandu. Kwanza huyo mtu anatafutwa Marekani siku akikanyaga tu anadakwa. Angemuita Makongoro Mahanga au Nchimbi akafanye naye mdahalo. Siyo hao vijana. They are centuries ahead of him
 
With all do respect to mr. Ndunguru, what you did is good and very thoughtful however, i believe it was more PR stunt than airline business, I think this is the biggest joke I've heard in years, bold air with two cessna na waziri anakwenda kufungua, I know lots of tour operators in Arusha have half dozens of those, the total investment of bold air is less than one of Phd kikwete BMW. This is insane indigo maana haw a watu wanasign mikataba ya kibwege, they are very naive, najua watu walioafungua factory wanainvest a million dollar na waziri anakataa mwaliko
 
Kwa elimu yake ya miaka miwili pale Waldorf pale na pesa za mama Anna Mkapa yeye anajua nini? Anafahamu ni jinsi gani Watanzania tulio nje tunavyo endeshwa kwa kujaribu kuwekeza. Wahindi wamekuwa kikwazo kikubwa sana, leo Watanzania wangapi wameibiwa hati miliki za mawazo yao pale TIC. TIC hapo ndio kila siku blue print za watu zinauzwa Vodacom. Wengine tumekuja kujaribu kufungua Redio station and TV station Dar tukambiwa kwamba frequency zimekwisha.

Nyalandu yeye ametoa wapi pesa ya kufanya kampeni na helicopter? Kama sio wizi tuu......
 
Huyu kabisa tena asiseme maana wengine tunamfahamu kuliko pengine anavyojifahamu mwenyewe, asiote tuweke mambo yake hadharani hasa alipokuwa nje, maana yanaaibisha na kama si "urafiki wa kula na mrs BMW" haki na nani vile angekuwa bado analala chini, aawache vijana wetu mahali popote walipo, yeye si karudi kwa sababu ya mama mkapa na alikuwa anahanja hanja tu? Jamani watu wengine hata sijui tuwaweke kwenye category gani!!!! It is so sickening
 
Kwa elimu yake ya miaka miwili pale Waldorf pale na pesa za mama Anna Mkapa yeye anajua nini? Anafahamu ni jinsi gani Watanzania tulio nje tunavyo endeshwa kwa kujaribu kuwekeza. Wahindi wamekuwa kikwazo kikubwa sana, leo Watanzania wangapi wameibiwa hati miliki za mawazo yao pale TIC. TIC hapo ndio kila siku blue print za watu zinauzwa Vodacom. Wengine tumekuja kujaribu kufungua Redio station and TV station Dar tukambiwa kwamba frequency zimekwisha.

Nyalandu yeye ametoa wapi pesa ya kufanya kampeni na helicopter? Kama sio wizi tuu......
Alienda kumalizia degree Wartburg College, kila siku alikua mtu wa kusafiri, ndo maana akamaliza na low GPA. Alianzisha mradi wake wa Summer camp akatapeli watu kibao.
 
Huyu nyalandu asilete kuzusha. Watu wana DATA zake kibao zitaanika kwa sababu ana siri chafu.... Amwambie Miss... arudie mikakati yake ya kumshauri. atakuja kuanguka kama Masha
 
Waziri msaidizi wa viwanda anaonekana kuwaponda watanzania wanaoshi nje kutokana na haya makala haya hapa chini. Walionje kwa maana hiyo ni walamikaji tu hawana maana katika taifa la Tanzania. Tunaomba Huyu mweshimiwa awekwe kitimoto na Vijana wetu John Mashaka, Mwanakijiji au Nyani Ngabu. mnaonaje hili swala? Serikali ya Kikwete imejaa wapuuzi kweli, siamini Nyalandu kapata uwaziri, Ngeleja na Mahanga nao wamerudi. Tunaomba Mdahalo kati ya hawa vijana wetu na vhiyo vya Kikwete
(phD)

Sunday, 12 December 2010

James Magai

NAIBU Waziri wa Viwanda, Biashara na Masoko, Lazaro Nyalandu, amesema sehemu kubwa ya Watanzania wanaoishi nje ya nchi, wamekua walalamikaji tu kuhusu taratibu za uwekezaji, lakini hawachukui hatua.Nyalandu alitoa kauli hiyo wiki iliyopita, wakati akizungumza na Mwananchi baada ya kuzindua Kampuni ya Ndege ya Bold Air, inayomilikiwa na , John Ndunguru, Mtanzania anayeishi Marekani.

Uzinduzi wa kampuni hiyo, ulifanyika katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam."Watanzania waache kulalamika tu kwenye mablog. Wengi wamekuwa walalamikaji tu, lakini hawachukui hatua," alisema Nyalandu. Naibu wazkiri huyo aliwataka Watanzania hao, watumie muda wa kukaa kwenye mitandao, kuangalia taarifa zinazohusu fursa za uwekezaji zinazopatikana pia hata kwenye mtandao wa Kituo cha Uwekezaji cha Tanzania na kusaidia shughuli za uwekezaji hapa nchini.

"Kitendo cha kulalamika bila ya kuchukua hatua ni ishara kwamba wengi wao sio wabunifu. Nampongeza ndugu yangu John Nduguru, kwa kutumia fursa hiyo na kuanzisha kampuni hii," alisema.
Nyalandu alimpongeza Ndunguru kwa uamuzi wa kuja kuwekeza nyumbani, jambo ambalo alisema litasaidia katika kuinua uchumi wa Tanzania.

"Pamoja na kwamba Ndunguru amekuwa akifanya biasharas zake nchini Marekani, lakini ameiona umuhimu wa kuwekeza nyumbani jambo ambalo litasaidia kuinua uchumi na kutengeza ajira kwa Watanzania wenzake," alisema Naibu waziri.Kwa upande wake, Ndunguru aliishauri serikali iangalie na kuzifanyia kazi changamoto mbalimbali za uwekezaji ukiwemo mlolongo mrefu kuhusu mchakato wa uwekezaji.

Alisema mchakato wa uwekezaji n chini ni mrefu, jambo linalowafanya Watanzania wengi walioko nje, wakate tamaa, na kwamba hiyo inachangiwa na tatizo la kutakiwa kutumia muda mrefu katika kumilisha taratibu za uwekezaji. "Tataratibu zetu bado ni ngumu, maana mtu anatumia muda mrefu na gharama na kubwa, jambo linalowakatisha tamaa Watanzania wengi kuja kuwekeza nyumbani," alisisitiza.

Alisema ameamua kuwekeza katika usafiri wa anga kwa kuwa kuna nafasi nyingi za kufanya biashara na kwamba wakati umefika kwa watanzania, kuachana dhana kwamba huduma ya usafiri wa ndege ni ya watu maalum tu na wenye fedha nyingi. "Zamani biashara hii ilitawaliwa na Wahindi na Waarabu ambao walitujengea hisia na dhana kwamba huduma hiyo ni ya gharama kubwa sana na kwa hiyo ni ya watu maalumu tu. Hii si kweli, hata Mtanzania wa kawaida anaweza kumudu gharama za usafiri huu," alisema.

Kwa upande wake, Nyalandu alisema ni azma ya Serikali ya Awamu ya Nne, kuwaandalia Watanzania mazingira bora ya uwekezaji kama ambavyo imekuwa ikifanya, ili kila Mtanzania aliyeko nje na mwenye uwezo wa kuwekeza, aje kufanya hivyo.Alisema kwa sasa serikali iko katika mchakato wa kuangalia mfumo mzima wa kodi za uwekezaji, ikiwa ni hatua ya kuboreesha zaidi mazingira ya uwekezaji, ili kuwavutia wawekezaji wengi wakiwemo wazawa.Kampuni hiyo ya Bold imeingiza ndege mbili kwenye soko, moja ikiwa ni ya aina ya Cessna 310 na nyingine aina ya Seneca 1, zote zikiwa na uwezo wa kuchukua abiria sita kila moja kwa wakati mmoja.

Abiria SITA tu? Mie nilidhani ni sawa na Cessna Caravan, inayochukua abiria 14?
 
Jamani hii Cesna yenyewe inayozungumziwa hapa imeenda kwenye container la 20" na kuunganishwa pale kipawa...bei yake ni sana na Isuzu Journey ya Dar Moro...but as a fellow colleague said we commend the investor ila tunaomba zichunguzwe usalama wake na uzima wake, zitakapokuja kudondoka tutamuomba Mhe. Waziri awajibike coz yeye ndio alituambia tusiogope ndege hizo na tuzipande tu.
 
kwa usawa huu kila mwekezaji tunamsamgilia itakuwa kama yale ya Magufuli anazuia boti mbovu kwenda Mwanza Mwandosha anabaliki, sasa boti zimekuwa Majumba ya waganga wa kienyeji mengine wanafugia kuku, walijaribu kusafiri nayo yanazima kama koroboi kwenye upepo, labda ndege hizi za watu 6, ziwe daladala za kwenda Bunju , Bagamoyo kwa kuwa zinaspead ndogo sana kwenda MZA ni Masaa maanne

watuambie ni ya mwaka gani

angalia hii

2000 model Cessna 206H Stationair Role light aircraft Manufacturer Cessna Introduced 1962 (206) Status in production Number built over 8509 (as of approx. 2006) Unit cost USD$503,500 (206H Stationair) 2008 base price[1] USD$540,500 (T206H Turbo Stationair) 2008 base price[2]
Developed from Cessna 210
 
Waziri msaidizi wa viwanda anaonekana kuwaponda watanzania wanaoshi nje kutokana na haya makala haya hapa chini. Walionje kwa maana hiyo ni walamikaji tu hawana maana katika taifa la Tanzania. Tunaomba Huyu mweshimiwa awekwe kitimoto na Vijana wetu John Mashaka, Mwanakijiji au Nyani Ngabu. mnaonaje hili swala? Serikali ya Kikwete imejaa wapuuzi kweli, siamini Nyalandu kapata uwaziri, Ngeleja na Mahanga nao wamerudi. Tunaomba Mdahalo kati ya hawa vijana wetu na vhiyo vya Kikwete
(phD)

Sunday, 12 December 2010

James Magai

NAIBU Waziri wa Viwanda, Biashara na Masoko, Lazaro Nyalandu, amesema sehemu kubwa ya Watanzania wanaoishi nje ya nchi, wamekua walalamikaji tu kuhusu taratibu za uwekezaji, lakini hawachukui hatua.Nyalandu alitoa kauli hiyo wiki iliyopita, wakati akizungumza na Mwananchi baada ya kuzindua Kampuni ya Ndege ya Bold Air, inayomilikiwa na , John Ndunguru, Mtanzania anayeishi Marekani.

Uzinduzi wa kampuni hiyo, ulifanyika katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam.“Watanzania waache kulalamika tu kwenye mablog. Wengi wamekuwa walalamikaji tu, lakini hawachukui hatua,” alisema Nyalandu. Naibu wazkiri huyo aliwataka Watanzania hao, watumie muda wa kukaa kwenye mitandao, kuangalia taarifa zinazohusu fursa za uwekezaji zinazopatikana pia hata kwenye mtandao wa Kituo cha Uwekezaji cha Tanzania na kusaidia shughuli za uwekezaji hapa nchini.

“Kitendo cha kulalamika bila ya kuchukua hatua ni ishara kwamba wengi wao sio wabunifu. Nampongeza ndugu yangu John Nduguru, kwa kutumia fursa hiyo na kuanzisha kampuni hii,” alisema.
Nyalandu alimpongeza Ndunguru kwa uamuzi wa kuja kuwekeza nyumbani, jambo ambalo alisema litasaidia katika kuinua uchumi wa Tanzania.

"Pamoja na kwamba Ndunguru amekuwa akifanya biasharas zake nchini Marekani, lakini ameiona umuhimu wa kuwekeza nyumbani jambo ambalo litasaidia kuinua uchumi na kutengeza ajira kwa Watanzania wenzake," alisema Naibu waziri.Kwa upande wake, Ndunguru aliishauri serikali iangalie na kuzifanyia kazi changamoto mbalimbali za uwekezaji ukiwemo mlolongo mrefu kuhusu mchakato wa uwekezaji.

Alisema mchakato wa uwekezaji n chini ni mrefu, jambo linalowafanya Watanzania wengi walioko nje, wakate tamaa, na kwamba hiyo inachangiwa na tatizo la kutakiwa kutumia muda mrefu katika kumilisha taratibu za uwekezaji. “Tataratibu zetu bado ni ngumu, maana mtu anatumia muda mrefu na gharama na kubwa, jambo linalowakatisha tamaa Watanzania wengi kuja kuwekeza nyumbani," alisisitiza.

Alisema ameamua kuwekeza katika usafiri wa anga kwa kuwa kuna nafasi nyingi za kufanya biashara na kwamba wakati umefika kwa watanzania, kuachana dhana kwamba huduma ya usafiri wa ndege ni ya watu maalum tu na wenye fedha nyingi. “Zamani biashara hii ilitawaliwa na Wahindi na Waarabu ambao walitujengea hisia na dhana kwamba huduma hiyo ni ya gharama kubwa sana na kwa hiyo ni ya watu maalumu tu. Hii si kweli, hata Mtanzania wa kawaida anaweza kumudu gharama za usafiri huu,” alisema.

Kwa upande wake, Nyalandu alisema ni azma ya Serikali ya Awamu ya Nne, kuwaandalia Watanzania mazingira bora ya uwekezaji kama ambavyo imekuwa ikifanya, ili kila Mtanzania aliyeko nje na mwenye uwezo wa kuwekeza, aje kufanya hivyo.Alisema kwa sasa serikali iko katika mchakato wa kuangalia mfumo mzima wa kodi za uwekezaji, ikiwa ni hatua ya kuboreesha zaidi mazingira ya uwekezaji, ili kuwavutia wawekezaji wengi wakiwemo wazawa.Kampuni hiyo ya Bold imeingiza ndege mbili kwenye soko, moja ikiwa ni ya aina ya Cessna 310 na nyingine aina ya Seneca 1, zote zikiwa na uwezo wa kuchukua abiria sita kila moja kwa wakati mmoja.

Kama kitovu cha maneno aliyoyatoa Mh Nyalandu ni KUWAHIMIZENI NYIE WENZETU MLIOBAHATIKA kutembelea nchi za watu huko ma-Ughaibuni kuja kuwezeka nyumbani KWA KWELI SIJAONA KOSA LOLOTE HAPO.

Ukumbuke, waziri anapotoa kauli yake maneno yake hutufikia baadaya kupitia kwenye mikono ya watu kibao kwanza. Kwa mtiririko huo, kuna uwezekano mkubwa sana katika kutia naksi kule ama mtu akaongezea au kupunguza neno jambo ambalo huenda ikayumbisha maana ya tangu awali.

Isitoshe, ukizingatia ya kwamba hayo maneno Nyalandu aliyasema AKIWA WAPI nalo pia ni jambo muhimu sana kuangalia. Kiukweli nilivyompata huyu kijana mwenzetu huyu ni kwamba alikua ANAWAHIMIZENI ILI MKACHANGAMKIE FURSA ZILIZOPO NCHINI kuwekeza ili nasi tukapate ajira hapa nyumbani sawa sawa na jinsi ambavyo mwenzenu John Ndunguru ameonekana akizinduliwa kampuni yake ya ndege hapa majuzi. Nadhani hata ingalikua ni wewe umeshika kanafasi na uliwahi pia kuishi huko ma-Ughaibuni na wenzio bila shaka ungetamani kuona unafungua biashara za aina hiyo nyingi tu.

Ingawaje SIPENDI KABISA MAMBO AMBAYO SERIKALI YAKE YA CCM imekua ikitufanyia sisi hapa nyumbani lakini NISINGEPENDA HIYO NDIO IWE NI SABABU YA KUNIFANYA nitohoe maana nje ya context, hapana.
Kama ni LAZIMA SANA AONEKANE WA MAKOSA TUU basi bora ufanye hivyo kwa siku nyingine lakini si katika hili.

Hebu leta hija zaidi basi.
 
Kama kitovu cha maneno aliyoyatoa Mh Nyalandu ni KUWAHIMIZENI NYIE WENZETU MLIOBAHATIKA kutembelea nchi za watu huko ma-Ughaibuni kuja kuwezeka nyumbani KWA KWELI SIJAONA KOSA LOLOTE HAPO.

Ukumbuke, waziri anapotoa kauli yake maneno yake hutufikia baadaya kupitia kwenye mikono ya watu kibao kwanza. Kwa mtiririko huo, kuna uwezekano mkubwa sana katika kutia naksi kule ama mtu akaongezea au kupunguza neno jambo ambalo huenda ikayumbisha maana ya tangu awali.

Isitoshe, ukizingatia ya kwamba hayo maneno Nyalandu aliyasema AKIWA WAPI nalo pia ni jambo muhimu sana kuangalia. Kiukweli nilivyompata huyu kijana mwenzetu huyu ni kwamba alikua ANAWAHIMIZENI ILI MKACHANGAMKIE FURSA ZILIZOPO NCHINI kuwekeza ili nasi tukapate ajira hapa nyumbani sawa sawa na jinsi ambavyo mwenzenu John Ndunguru ameonekana akizinduliwa kampuni yake ya ndege hapa majuzi. Nadhani hata ingalikua ni wewe umeshika kanafasi na uliwahi pia kuishi huko ma-Ughaibuni na wenzio bila shaka ungetamani kuona unafungua biashara za aina hiyo nyingi tu.

Ingawaje SIPENDI KABISA MAMBO AMBAYO SERIKALI YAKE YA CCM imekua ikitufanyia sisi hapa nyumbani lakini NISINGEPENDA HIYO NDIO IWE NI SABABU YA KUNIFANYA nitohoe maana nje ya context, hapana. Kama ni LAZIMA SANA AONEKANE WA MAKOSA TUU basi bora ufanye hivyo kwa siku nyingine lakini si katika hili.

Hebu leta hija zaidi basi.

Wewe ndo nyarandu nini?
 
With all do respect to mr. Ndunguru, what you did is good and very thoughtful however, i believe it was more PR stunt than airline business, I think this is the biggest joke I've heard in years, bold air with two cessna na waziri anakwenda kufungua, I know lots of tour operators in Arusha have half dozens of those, the total investment of bold air is less than one of Phd kikwete BMW. This is insane indigo maana haw a watu wanasign mikataba ya kibwege, they are very naive, najua watu walioafungua factory wanainvest a million dollar na waziri anakataa mwaliko

Wewe umeinvest nini Tanzania? au ndiyo walalamikaji wasio na tija kwenye nchi yetu?
 
Hivi watanzania tumefika mahali waziri anahudhuria uzinduzi wa videge vinavyobeba abiria sita!!!!!! Jamani kweli nchi hii tumefilisika. Mimi ninahisi kuna kauhusiano fulani kati ya nyalandu na huyo bw. ndungulu na inawezekana hata hiyo helikopta aliyotumia wakati wa kampeni alichangiwa na huyo anayetaka kum-prmote. kwanza kitendo cha mbakaji kuteuliwa kuwa naibu waziri tena wizara nyeti kama hiyo ya viwanda kilinikatisha tamaa sana.

Nimesikia mke wake alikuwa miss tanzania. ni yupi huyo?
 
Waziri au kiongozi kwenda kufungua miradi"midogo" haujaanza leo.Nakumbuka rais Ali Hassan Mwinyi alikwenda kufungua Karibu Hotel, Oysterbay, hoteli iliyokuwa ina vyumba 15 tuu!!

Lakini katika swala hili mimi binafsi I am siding with Nyalandu. What has many of us in here and other forums done for our country lately? Tunabwabwajabwabwaja sana humu ndani lakini tunafanya nini kwa nchi yetu? Kennedy' statement always comes to mind -ask not what your country can do for you - ask what you can do for your country. Despite background za hawa watu (which I don't really care about at this juncture) akina Ndunguru wamerudi kuwekeza hizo ndege mbili - so what? At least he is doing something! PR? Who doesn't need it? You and I would probably do the same thing!!Nyalandu came back and he thought of representing his home district huko Singida in parliament - he is doing something instead of "venting" here and on other forums and blogs.

Hao akina Mashaka, Mwanakijiji, Nyani Ngabu etc ni members of this forum or another, their contributions are appreciated and maybe it will make good mdahalo to pitch them together, but, really, what have they done for their country apart from voicing their ideas in these forums? John Mashaka did something for the orphans when he was last here, though, and I commend him.

People, let us not be venting just for the sake of venting, and instead let us also do something positive...and use all the available resources to flaunt ourselves.
 
Back
Top Bottom