Lazaro Nyalandu, kinyongo cha Uwaziri kitakuponza

Lazaro Nyarandu mbunge wa Singida ametajwa kuwa na kinyongo cha kupitiliza Kutokana na kutoswa Kwenye Uwaziri Kwenye serikali ya awamu ya tano imebainika. Kati ya mawaziri wa Kikwete wanaoumia huyu bwana anashika nafasi ya kwanza.

Baada ya serikali ya awamu ya tano kuingia madarakani na Nyarandu kutoingizwa Kwenye Baraza la mawaziri lá Magufuli, huyu bwana alisuka mkakati kuwashawishi Maseneta 7 wa Marekani kuja Tanzania kuonana na Rais Magufuli kuzungumza masuala yanayotajwa ya Kimaendeleo na kumshawishi Rais amteue Nyarandu Kwenye Wizara ya Maliasili ili Marekani iendelee kushirikiana na Tanzania Kwa kutoa misaada ya vifaa vya kudhibiti ujangili nchini.

Mtakumbuka Rais Magufuli aligundua janja hiyo anakataa kuonana na hao wazungu wa Marekani badala yake alielekeza wakaonane na Spika Ndugai Waeleze mambo yao. Kitendo chá Maseneta hao waliokuja na Ndege binafsi kutomuona Rais kiliwakatisha tamaa sana Kwakuwa Ndugai hakuwa mlengwa.

Hata Wakati wa kikwete kumpandisha Nyarandu kuwa Waziri baada ya kujiuzulu Kagasheki ilikuwa ni Shinikizo la Western power, hii iliwahi kuripotiwa na Gazeti Jamhuri mara kadhaa.

Marekani wanamtaka Nyarandu Kwa sababu za maslahi ya Vitalu vya uwindaji na masuala yote yanayohusiana na bidhaa za wanyama Pori . Huyu ni mtu Pekee aliyeweza kucheza fitina zote kuwaridhisha Matajiri wa kimarekani Kwa kukana maslahi ya taifa lake.

Mdogo wake Nyarandu nimesoma Naye sheria tukiwa darasa moja na hadi leo tuko karibu sana, Pamoja na kutomkubali Kaka yake Kwa madai kwamba hana msaada kwa ndugu zake, Anaeleza jinsi Nyarandu alivyokuwa na matumaini ya kurejea Kwenye uwaziri baada ya uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 akiamini ana nguvu kubwa nyuma yake. Kwahiyo kitendo chá kuachwa mazima kimjengea kinyongo kupita maelezo na amenukuliwa akimnanga Rais Magufuli na Rc Makonda kwamba sio Viongozi wenye maono.

Hamad ikatokea ile Ajali ya watoto wa Lucky Visent, Wazungu waliokuwa safari Kwenda Karatu wakakutana na Ajali mbaya ya gari lá wanafunzi iliwabidi washuke na kuokoa wale Majeruhi na kuwakimbiza Hospitali Arusha, wale wazungu Kwa kushuhudia Ajali ile mbaya waliingiwa na huruma na kujitolea kuwapeleka wale watoto Marekani kutibiwa, Nyarandu alichomoka kusikojulikana akaingia kati na kujifanya Msemaji wa wa jambo lile Kwakuwa alikuwa anafahamiana na Wazungu wale. Akajipatia sifa kwamba yeye ndiyo kawapeleka Wale watoto Marekani. Mpaka wale watoto wanarudi na kupokelewa Kwa Sherehe pale KIA hakuna Pongezi toka Kwa waziri yeyote , Waziri mkuu, CCM wala Rais Magufuli Kwenda Lazaro Nyarandu. Walijua janja yake.

Ni katika mlolongo huo huo wa kinyongo cha bwana huyu, Mwezi Julay Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli Alikuwa na Ziara mkoani Singida kuzindua barabara ya Itigi -Tabora, Wabunge wote wa CCM mkoani Singida walihudhuria Ziara hiyo isipokuwa Nyarandu hakwenda Kwenye Ziara ya Rais Ndani ya mkoa wake na alikuwepo Arusha amechil tu.

Hamad Tundu Lissu akapata matatizo ya kupigwa Risasi, Mbunge wa wa CCM Turky akasaidia Kwa malikauli Ndege iende Dodoma kumbeba Lissu na kumpeleka Nairobi, yule mbunge amepongezwa na Spika wa Bunge na CCM makao makuu walimpongeza Kwa maandishi Kwa kitendo chá Uungwana kusaidia Ndege ya kumbeba Tundu Lissu.

Ghafla Nyarandu akaibukia Nairobi kumtembelea Tundu Lissu na kutoa kauli tata akiwa na Wabunge wa CHADEMA. "Muelekeo ni mhimu kuliko kasi, wengi hawajui waendako lakini wana kwenda kwa kasi! Ndio maana ni bora inchi moja kwenda kwenye muelekeo sahihi kuliko maili moja kwenda kwenye muelekeo usio sahihi" alisema Nyarandu.

kabla hajaruhusiwa kuingia ndani ya Hospital kumuona Tundu Lissu Nyarandu alipiga picha Kwenye kibao chá Hospitali na kupost mitandaoni haraka hata Kabla hujamuona mgonjwa. Hii inaashiria Lengo lake ni kuonekana ameenda huko ila sio dhamira ya dhati kumuona mgonjwa, wabongo wanaita kutafuta kiki. Na ameipata kiki aliyokuwa anaitafuta. Ila maneno aliyotoa huko Nairobi na Mengine nayahifadhi ni ishara ileile ya kinyongo chake.

MUDA WA KUMJUA WAZIRI JANGILI UMEFIKA?

Gazeti Raia mwema na Jamhuri walitoa ripoti Maalum ya kurasa 7 kuelezea Ujangili unaofanywa na waziri asiyefahamika katika awamu ya nne, ujangili wa waziri huyo Ulikuwa wa waziwazi na Ushahidi uliwekwa. Waziri huyo aliyetajwa kutumia Helicopter kubeba meno ya Tembo maeneo ya Manyoni na kuyapeleka kusikojulikana. Rais Magufuli baada ya kumulika sekta ya madini hamia na Kwenye Maliasili tuwajue wanaohujumu taifa letu.

Itaendelea..............
Absolute toilet...HIVI JUZI MAGU ALIPOENDA LUGALO KUMTEMBELEA YULE BRIGEDIA WAKE WALIOMPIGA WAO WENYEWE ALIKUWA NA KINYONGO CHA KUKOSA NINI???

Kama kitendo cha Nyalandu kumtembelea Tundu Lissu, mbunge mwenzake kutoka Singida, na zaidi sana ndugu yake na Mnyaturu mwenzake kutoka Singida Magufuli na 'Flying Squad' wake wanakiona kuwa ni kinyongo, then let it be, Nyalandu ongeza hicho kinyongo!
 
Hili bandiko linaeleza mambo makuu matatu:
-Mwandishi ana kinyongo kuwa TL bado anaishi (Nyalandu asingeenda kuona maiti)
-JPM ana kinyongo na Nyalandu kwa kuwa awamu iliyopita alionekana kung'ara
-Mwandishi na wenzake, ndio wanampotosha JPM na kuishia kufukuza panya wakati nyumba inaungua.

Alikuwa wapi kuyasema haya? Alisubiri TL anyeshewe risasi ndipo atuambie Nyalandu ni jangiri?
Nchi imevimba, wakati wowote itapasuka.
 
Haya maneno "Kasi bila uelekeo" nilijua hayatamuacha salama. Kwa wenye akili hawatashangaa maana watu wote wanaokataa kupanda roli la mfalme Belshaza wanaonekana wasaliti, sio wazalendo na ni wahujumu wa maendeleo ya nchi. Ni heri ukatembea kwa miguu ukachelewa kuliko kwenda kasi ndani ya roli (ukizingatia kuwa kwenye roli huwa inabebwa mizigo, na kwa kawaida mizigo haihoji, haiulizi popote inapelekwa).... Roli linalokwenda kasi bila uelekeo, ni lile linaloendeshwa na dereva asiyejua anakoenda na aendeje..... Kama alichokifanya Nyalandu ni uadui basi taratibu mpaka mama na baba zenu mtakuja kuwaita wasaliti. Maana siku zinavyoenda kila mmoja taratibu anajigundua kwamba yeye sio mzigo basi anashuka kwenye roli (ibaki mizigo na dereva kipofu)...... Nimpongeze Mh Nyalandu kwa kuwa na moyo wa kujali kwanza, ni kwa kusaidia kuratibu matibabu ya ajali ya watoto wa Lucky Vicent ( yapo mengine yanajiita mazalendo hayakuonyesha hata pua zao, achilia mbali kuchukua rambirambi kwenda kutengeneza jina kwenye ujenzi) Mbili, ni kwa kuonyesha utu na kutambua kuwa siasa sio uadui.
 
Lazaro Nyarandu mbunge wa Singida ametajwa kuwa na kinyongo cha kupitiliza Kutokana na kutoswa Kwenye Uwaziri Kwenye serikali ya awamu ya tano imebainika. Kati ya mawaziri wa Kikwete wanaoumia huyu bwana anashika nafasi ya kwanza.

Baada ya serikali ya awamu ya tano kuingia madarakani na Nyarandu kutoingizwa Kwenye Baraza la mawaziri lá Magufuli, huyu bwana alisuka mkakati kuwashawishi Maseneta 7 wa Marekani kuja Tanzania kuonana na Rais Magufuli kuzungumza masuala yanayotajwa ya Kimaendeleo na kumshawishi Rais amteue Nyarandu Kwenye Wizara ya Maliasili ili Marekani iendelee kushirikiana na Tanzania Kwa kutoa misaada ya vifaa vya kudhibiti ujangili nchini.

Mtakumbuka Rais Magufuli aligundua janja hiyo anakataa kuonana na hao wazungu wa Marekani badala yake alielekeza wakaonane na Spika Ndugai Waeleze mambo yao. Kitendo chá Maseneta hao waliokuja na Ndege binafsi kutomuona Rais kiliwakatisha tamaa sana Kwakuwa Ndugai hakuwa mlengwa.

Hata Wakati wa kikwete kumpandisha Nyarandu kuwa Waziri baada ya kujiuzulu Kagasheki ilikuwa ni Shinikizo la Western power, hii iliwahi kuripotiwa na Gazeti Jamhuri mara kadhaa.

Marekani wanamtaka Nyarandu Kwa sababu za maslahi ya Vitalu vya uwindaji na masuala yote yanayohusiana na bidhaa za wanyama Pori . Huyu ni mtu Pekee aliyeweza kucheza fitina zote kuwaridhisha Matajiri wa kimarekani Kwa kukana maslahi ya taifa lake.

Mdogo wake Nyarandu nimesoma Naye sheria tukiwa darasa moja na hadi leo tuko karibu sana, Pamoja na kutomkubali Kaka yake Kwa madai kwamba hana msaada kwa ndugu zake, Anaeleza jinsi Nyarandu alivyokuwa na matumaini ya kurejea Kwenye uwaziri baada ya uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 akiamini ana nguvu kubwa nyuma yake. Kwahiyo kitendo chá kuachwa mazima kimjengea kinyongo kupita maelezo na amenukuliwa akimnanga Rais Magufuli na Rc Makonda kwamba sio Viongozi wenye maono.

Hamad ikatokea ile Ajali ya watoto wa Lucky Visent, Wazungu waliokuwa safari Kwenda Karatu wakakutana na Ajali mbaya ya gari lá wanafunzi iliwabidi washuke na kuokoa wale Majeruhi na kuwakimbiza Hospitali Arusha, wale wazungu Kwa kushuhudia Ajali ile mbaya waliingiwa na huruma na kujitolea kuwapeleka wale watoto Marekani kutibiwa, Nyarandu alichomoka kusikojulikana akaingia kati na kujifanya Msemaji wa wa jambo lile Kwakuwa alikuwa anafahamiana na Wazungu wale. Akajipatia sifa kwamba yeye ndiyo kawapeleka Wale watoto Marekani. Mpaka wale watoto wanarudi na kupokelewa Kwa Sherehe pale KIA hakuna Pongezi toka Kwa waziri yeyote , Waziri mkuu, CCM wala Rais Magufuli Kwenda Lazaro Nyarandu. Walijua janja yake.

Ni katika mlolongo huo huo wa kinyongo cha bwana huyu, Mwezi Julay Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli Alikuwa na Ziara mkoani Singida kuzindua barabara ya Itigi -Tabora, Wabunge wote wa CCM mkoani Singida walihudhuria Ziara hiyo isipokuwa Nyarandu hakwenda Kwenye Ziara ya Rais Ndani ya mkoa wake na alikuwepo Arusha amechil tu.

Hamad Tundu Lissu akapata matatizo ya kupigwa Risasi, Mbunge wa wa CCM Turky akasaidia Kwa malikauli Ndege iende Dodoma kumbeba Lissu na kumpeleka Nairobi, yule mbunge amepongezwa na Spika wa Bunge na CCM makao makuu walimpongeza Kwa maandishi Kwa kitendo chá Uungwana kusaidia Ndege ya kumbeba Tundu Lissu.

Ghafla Nyarandu akaibukia Nairobi kumtembelea Tundu Lissu na kutoa kauli tata akiwa na Wabunge wa CHADEMA. "Muelekeo ni mhimu kuliko kasi, wengi hawajui waendako lakini wana kwenda kwa kasi! Ndio maana ni bora inchi moja kwenda kwenye muelekeo sahihi kuliko maili moja kwenda kwenye muelekeo usio sahihi" alisema Nyarandu.

kabla hajaruhusiwa kuingia ndani ya Hospital kumuona Tundu Lissu Nyarandu alipiga picha Kwenye kibao chá Hospitali na kupost mitandaoni haraka hata Kabla hujamuona mgonjwa. Hii inaashiria Lengo lake ni kuonekana ameenda huko ila sio dhamira ya dhati kumuona mgonjwa, wabongo wanaita kutafuta kiki. Na ameipata kiki aliyokuwa anaitafuta. Ila maneno aliyotoa huko Nairobi na Mengine nayahifadhi ni ishara ileile ya kinyongo chake.

MUDA WA KUMJUA WAZIRI JANGILI UMEFIKA?

Gazeti Raia mwema na Jamhuri walitoa ripoti Maalum ya kurasa 7 kuelezea Ujangili unaofanywa na waziri asiyefahamika katika awamu ya nne, ujangili wa waziri huyo Ulikuwa wa waziwazi na Ushahidi uliwekwa. Waziri huyo aliyetajwa kutumia Helicopter kubeba meno ya Tembo maeneo ya Manyoni na kuyapeleka kusikojulikana. Rais Magufuli baada ya kumulika sekta ya madini hamia na Kwenye Maliasili tuwajue wanaohujumu taifa letu.

Itaendelea..............
kosa lake ni nini, acha mambo ya uadui mkuu, kwa hiyo mnataka kusema wapinzani ni maadui au mashetani watu tusisalimiane nao, acha hizo ndugu, hii nchi sio ya ccm, ni ya wote walio na chama na wasio na chama,
 
umenena nyalandu ni mmoja wa wapiga dili ambao magu kawaathiri kwa kiasi kikubwa magu hamia kwenye maliasili tumjue huyo waziri jangili
hivi mbona na yule katibu bado anapeta tu, yani mkitaka hivyo hiyo safu yetu yooote ya wale ni wahalifu, sijui atapona nani
 
Lazaro Nyarandu mbunge wa Singida ametajwa kuwa na kinyongo cha kupitiliza Kutokana na kutoswa Kwenye Uwaziri Kwenye serikali ya awamu ya tano imebainika. Kati ya mawaziri wa Kikwete wanaoumia huyu bwana anashika nafasi ya kwanza.

Baada ya serikali ya awamu ya tano kuingia madarakani na Nyarandu kutoingizwa Kwenye Baraza la mawaziri lá Magufuli, huyu bwana alisuka mkakati kuwashawishi Maseneta 7 wa Marekani kuja Tanzania kuonana na Rais Magufuli kuzungumza masuala yanayotajwa ya Kimaendeleo na kumshawishi Rais amteue Nyarandu Kwenye Wizara ya Maliasili ili Marekani iendelee kushirikiana na Tanzania Kwa kutoa misaada ya vifaa vya kudhibiti ujangili nchini.

Mtakumbuka Rais Magufuli aligundua janja hiyo anakataa kuonana na hao wazungu wa Marekani badala yake alielekeza wakaonane na Spika Ndugai Waeleze mambo yao. Kitendo chá Maseneta hao waliokuja na Ndege binafsi kutomuona Rais kiliwakatisha tamaa sana Kwakuwa Ndugai hakuwa mlengwa.

Hata Wakati wa kikwete kumpandisha Nyarandu kuwa Waziri baada ya kujiuzulu Kagasheki ilikuwa ni Shinikizo la Western power, hii iliwahi kuripotiwa na Gazeti Jamhuri mara kadhaa.

Marekani wanamtaka Nyarandu Kwa sababu za maslahi ya Vitalu vya uwindaji na masuala yote yanayohusiana na bidhaa za wanyama Pori . Huyu ni mtu Pekee aliyeweza kucheza fitina zote kuwaridhisha Matajiri wa kimarekani Kwa kukana maslahi ya taifa lake.

Mdogo wake Nyarandu nimesoma Naye sheria tukiwa darasa moja na hadi leo tuko karibu sana, Pamoja na kutomkubali Kaka yake Kwa madai kwamba hana msaada kwa ndugu zake, Anaeleza jinsi Nyarandu alivyokuwa na matumaini ya kurejea Kwenye uwaziri baada ya uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 akiamini ana nguvu kubwa nyuma yake. Kwahiyo kitendo chá kuachwa mazima kimjengea kinyongo kupita maelezo na amenukuliwa akimnanga Rais Magufuli na Rc Makonda kwamba sio Viongozi wenye maono.

Hamad ikatokea ile Ajali ya watoto wa Lucky Visent, Wazungu waliokuwa safari Kwenda Karatu wakakutana na Ajali mbaya ya gari lá wanafunzi iliwabidi washuke na kuokoa wale Majeruhi na kuwakimbiza Hospitali Arusha, wale wazungu Kwa kushuhudia Ajali ile mbaya waliingiwa na huruma na kujitolea kuwapeleka wale watoto Marekani kutibiwa, Nyarandu alichomoka kusikojulikana akaingia kati na kujifanya Msemaji wa wa jambo lile Kwakuwa alikuwa anafahamiana na Wazungu wale. Akajipatia sifa kwamba yeye ndiyo kawapeleka Wale watoto Marekani. Mpaka wale watoto wanarudi na kupokelewa Kwa Sherehe pale KIA hakuna Pongezi toka Kwa waziri yeyote , Waziri mkuu, CCM wala Rais Magufuli Kwenda Lazaro Nyarandu. Walijua janja yake.

Ni katika mlolongo huo huo wa kinyongo cha bwana huyu, Mwezi Julay Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli Alikuwa na Ziara mkoani Singida kuzindua barabara ya Itigi -Tabora, Wabunge wote wa CCM mkoani Singida walihudhuria Ziara hiyo isipokuwa Nyarandu hakwenda Kwenye Ziara ya Rais Ndani ya mkoa wake na alikuwepo Arusha amechil tu.

Hamad Tundu Lissu akapata matatizo ya kupigwa Risasi, Mbunge wa wa CCM Turky akasaidia Kwa malikauli Ndege iende Dodoma kumbeba Lissu na kumpeleka Nairobi, yule mbunge amepongezwa na Spika wa Bunge na CCM makao makuu walimpongeza Kwa maandishi Kwa kitendo chá Uungwana kusaidia Ndege ya kumbeba Tundu Lissu.

Ghafla Nyarandu akaibukia Nairobi kumtembelea Tundu Lissu na kutoa kauli tata akiwa na Wabunge wa CHADEMA. "Muelekeo ni mhimu kuliko kasi, wengi hawajui waendako lakini wana kwenda kwa kasi! Ndio maana ni bora inchi moja kwenda kwenye muelekeo sahihi kuliko maili moja kwenda kwenye muelekeo usio sahihi" alisema Nyarandu.

kabla hajaruhusiwa kuingia ndani ya Hospital kumuona Tundu Lissu Nyarandu alipiga picha Kwenye kibao chá Hospitali na kupost mitandaoni haraka hata Kabla hujamuona mgonjwa. Hii inaashiria Lengo lake ni kuonekana ameenda huko ila sio dhamira ya dhati kumuona mgonjwa, wabongo wanaita kutafuta kiki. Na ameipata kiki aliyokuwa anaitafuta. Ila maneno aliyotoa huko Nairobi na Mengine nayahifadhi ni ishara ileile ya kinyongo chake.

MUDA WA KUMJUA WAZIRI JANGILI UMEFIKA?

Gazeti Raia mwema na Jamhuri walitoa ripoti Maalum ya kurasa 7 kuelezea Ujangili unaofanywa na waziri asiyefahamika katika awamu ya nne, ujangili wa waziri huyo Ulikuwa wa waziwazi na Ushahidi uliwekwa. Waziri huyo aliyetajwa kutumia Helicopter kubeba meno ya Tembo maeneo ya Manyoni na kuyapeleka kusikojulikana. Rais Magufuli baada ya kumulika sekta ya madini hamia na Kwenye Maliasili tuwajue wanaohujumu taifa letu.

Itaendelea..............
Mkuu nasikia jamaa huyo alipewa Uwaziri pindi wa JK Kwasababu alikuwa anamuonganishia kwa warembo wakali kupitia kwa wife wake ambae ni Mlimbwende na sio kuwa jamaa alikuwa labda ana kitu unique kichwani au kimasomo...hahahaa
 
Viongozi wa CCM wamepigwa Risasi Kibiti walikuwa wanafurahia sana, sijaona Chadema walaani Matukio yale, wala barua ya Pole, Chadema ndiyo waumini wa mpinzani wako ni adui yako. Shame on you Na povu lenu
Sio chadema waliokuwa wanaliomba bunge lijadiri hoja kuhusu kibiti spika anakataa? Au umesahau,mbona bado mapema sana rudi youtube utakutana na ushahidi.
 
Jaji: wakili kanyunyu hivi vielelezo vyako vinahusianaje na kesi iliyo mbele yangu?
Wakili kanyunyu: mheshimiwa nataka kuithibitishia koti hii kuwa Nyarandu ni msaliti wa chama.
Wakili wa Jf:
Mheshimiwa jaji naomba mahakama yako tukufu ikipokee kielelezo cha upande wa mashitaka kwa muktadha wa kuwa ubinadamu wa nyarandu haukuanza leo kama inavyoonyesha kwenye picha akimbeba binti huyo kwa upendo kama baba, kwani hata mashine inathibitisha hivyo,ni hayo tu mheshimiwa.
 
hv hawa watu wanakaa wanaandika uzandiki na uongo ni watz kweli?Nia yao kuu nini hasa? kwanini tusikazane kujenha nchi kwa nguvu kama hii ya majungu na kejeli?
 
Jaji: wakili kanyunyu hivi vielelezo vyako vinahusianaje na kesi iliyo mbele yangu?
Wakili kanyunyu: mheshimiwa nataka kuithibitishia koti hii kuwa Nyarandu ni msaliti wa chama.
Wakili wa Jf:
Mheshimiwa jaji naomba mahakama yako tukufu ikipokee kielelezo cha upande wa mashitaka kwa muktadha wa kuwa ubinadamu wa nyarandu haukuanza leo kama inavyoonyesha kwenye picha akimbeba binti huyo kwa upendo kama baba, kwani hata mashine inathibitisha hivyo,ni hayo tu mheshimiwa.
Hahahaa
 
Lazaro Nyarandu mbunge wa Singida ametajwa kuwa na kinyongo cha kupitiliza Kutokana na kutoswa Kwenye Uwaziri Kwenye serikali ya awamu ya tano imebainika. Kati ya mawaziri wa Kikwete wanaoumia huyu bwana anashika nafasi ya kwanza.

Baada ya serikali ya awamu ya tano kuingia madarakani na Nyarandu kutoingizwa Kwenye Baraza la mawaziri lá Magufuli, huyu bwana alisuka mkakati kuwashawishi Maseneta 7 wa Marekani kuja Tanzania kuonana na Rais Magufuli kuzungumza masuala yanayotajwa ya Kimaendeleo na kumshawishi Rais amteue Nyarandu Kwenye Wizara ya Maliasili ili Marekani iendelee kushirikiana na Tanzania Kwa kutoa misaada ya vifaa vya kudhibiti ujangili nchini.

Mtakumbuka Rais Magufuli aligundua janja hiyo anakataa kuonana na hao wazungu wa Marekani badala yake alielekeza wakaonane na Spika Ndugai Waeleze mambo yao. Kitendo chá Maseneta hao waliokuja na Ndege binafsi kutomuona Rais kiliwakatisha tamaa sana Kwakuwa Ndugai hakuwa mlengwa.

Hata Wakati wa kikwete kumpandisha Nyarandu kuwa Waziri baada ya kujiuzulu Kagasheki ilikuwa ni Shinikizo la Western power, hii iliwahi kuripotiwa na Gazeti Jamhuri mara kadhaa.

Marekani wanamtaka Nyarandu Kwa sababu za maslahi ya Vitalu vya uwindaji na masuala yote yanayohusiana na bidhaa za wanyama Pori . Huyu ni mtu Pekee aliyeweza kucheza fitina zote kuwaridhisha Matajiri wa kimarekani Kwa kukana maslahi ya taifa lake.

Mdogo wake Nyarandu nimesoma Naye sheria tukiwa darasa moja na hadi leo tuko karibu sana, Pamoja na kutomkubali Kaka yake Kwa madai kwamba hana msaada kwa ndugu zake, Anaeleza jinsi Nyarandu alivyokuwa na matumaini ya kurejea Kwenye uwaziri baada ya uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 akiamini ana nguvu kubwa nyuma yake. Kwahiyo kitendo chá kuachwa mazima kimjengea kinyongo kupita maelezo na amenukuliwa akimnanga Rais Magufuli na Rc Makonda kwamba sio Viongozi wenye maono.

Hamad ikatokea ile Ajali ya watoto wa Lucky Visent, Wazungu waliokuwa safari Kwenda Karatu wakakutana na Ajali mbaya ya gari lá wanafunzi iliwabidi washuke na kuokoa wale Majeruhi na kuwakimbiza Hospitali Arusha, wale wazungu Kwa kushuhudia Ajali ile mbaya waliingiwa na huruma na kujitolea kuwapeleka wale watoto Marekani kutibiwa, Nyarandu alichomoka kusikojulikana akaingia kati na kujifanya Msemaji wa wa jambo lile Kwakuwa alikuwa anafahamiana na Wazungu wale. Akajipatia sifa kwamba yeye ndiyo kawapeleka Wale watoto Marekani. Mpaka wale watoto wanarudi na kupokelewa Kwa Sherehe pale KIA hakuna Pongezi toka Kwa waziri yeyote , Waziri mkuu, CCM wala Rais Magufuli Kwenda Lazaro Nyarandu. Walijua janja yake.

Ni katika mlolongo huo huo wa kinyongo cha bwana huyu, Mwezi Julay Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli Alikuwa na Ziara mkoani Singida kuzindua barabara ya Itigi -Tabora, Wabunge wote wa CCM mkoani Singida walihudhuria Ziara hiyo isipokuwa Nyarandu hakwenda Kwenye Ziara ya Rais Ndani ya mkoa wake na alikuwepo Arusha amechil tu.

Hamad Tundu Lissu akapata matatizo ya kupigwa Risasi, Mbunge wa wa CCM Turky akasaidia Kwa malikauli Ndege iende Dodoma kumbeba Lissu na kumpeleka Nairobi, yule mbunge amepongezwa na Spika wa Bunge na CCM makao makuu walimpongeza Kwa maandishi Kwa kitendo chá Uungwana kusaidia Ndege ya kumbeba Tundu Lissu.

Ghafla Nyarandu akaibukia Nairobi kumtembelea Tundu Lissu na kutoa kauli tata akiwa na Wabunge wa CHADEMA. "Muelekeo ni mhimu kuliko kasi, wengi hawajui waendako lakini wana kwenda kwa kasi! Ndio maana ni bora inchi moja kwenda kwenye muelekeo sahihi kuliko maili moja kwenda kwenye muelekeo usio sahihi" alisema Nyarandu.

kabla hajaruhusiwa kuingia ndani ya Hospital kumuona Tundu Lissu Nyarandu alipiga picha Kwenye kibao chá Hospitali na kupost mitandaoni haraka hata Kabla hujamuona mgonjwa. Hii inaashiria Lengo lake ni kuonekana ameenda huko ila sio dhamira ya dhati kumuona mgonjwa, wabongo wanaita kutafuta kiki. Na ameipata kiki aliyokuwa anaitafuta. Ila maneno aliyotoa huko Nairobi na Mengine nayahifadhi ni ishara ileile ya kinyongo chake.

MUDA WA KUMJUA WAZIRI JANGILI UMEFIKA?

Gazeti Raia mwema na Jamhuri walitoa ripoti Maalum ya kurasa 7 kuelezea Ujangili unaofanywa na waziri asiyefahamika katika awamu ya nne, ujangili wa waziri huyo Ulikuwa wa waziwazi na Ushahidi uliwekwa. Waziri huyo aliyetajwa kutumia Helicopter kubeba meno ya Tembo maeneo ya Manyoni na kuyapeleka kusikojulikana. Rais Magufuli baada ya kumulika sekta ya madini hamia na Kwenye Maliasili tuwajue wanaohujumu taifa letu.

Itaendelea..............
Kwa maneno hayo kweli Magufuli uraisi sio saizi yake yaani watu wanaopaswa kusaidia kuleta vifaa bora vya kulinda wnayama wetu anawakimbia si angeonana nao na asimchague Nyarandu kwani angelazimishwa, mume nuna kwa sababu ameenda kumuuona Lissu na ametoa wito kwa wasingida wenzao wamchangie Lissu ndio mumeanza figisufigisu nadhani wana CCM liwe somo kwenue Magufuli akimalizana na akina Lisu anahamia kwenu
 
Nimesoma bandiko lako mpaka mwisho nilichogundua kwanza ni ujinga ulionao kichwani mwako mengi unayoongelea hapa ni mambo binafsi na nahisi una ugomvi naye. Nakushauri masuala kama haya tafuta muda ukamalizane naye. Pili;unasema dhamira ya nyalandu sio kumuona mgonjwa bali kutafuta kiki hebu tueleze kivip? kama ni hivyo ni afadhali kiki inayotafutwa kwa style hiyo kuliko ile aliyoitafuta bwana magogoni kwenye makinikia matokeo yake mpaka mimba ya mkeo itadaiwa deni
 
Hili bandiko linaeleza mambo makuu matatu:
-Mwandishi ana kinyongo kuwa TL bado anaishi (Nyalandu asingeenda kuona maiti)
-JPM ana kinyongo na Nyalandu kwa kuwa awamu iliyopita alionekana kung'ara
-Mwandishi na wenzake, ndio wanampotosha JPM na kuishia kufukuza panya wakati nyumba inaungua.

Alikuwa wapi kuyasema haya? Alisubiri TL anyeshewe risasi ndipo atuambie Nyalandu ni jangiri?
Nchi imevimba, wakati wowote itapasuka.
Mpuuzi sana huyu jamaa
 
ikiendelea nitag habari mzuri saaana kuijua
wakupinga kila kitu watapinga na hili
 
Back
Top Bottom