Umeshasahau walikataza kuzungumzia masuala ya Kibiti?Viongozi wa CCM wamepigwa Risasi Kibiti walikuwa wanafurahia sana, sijaona Chadema walaani Matukio yale, wala barua ya Pole, Chadema ndiyo waumini wa mpinzani wako ni adui yako. Shame on you Na povu lenu
Ilitakiwa wewe upigie Kelele ya Kibiti maana Wengine wamechagua ya LISU Jinga kabisa mnataka kuchaugulia watu cha kuongea?Nanuie mbona ya kibiti mlinyamaza kwanza ya lissu ni kazi ndani ya cdm msitake kubebesha kawama watu wengine
HahahahaMtoa mada nakutumia mb ukatengeneze habari za jaji mstaafu maana na yy alienda kumsalimia lissu