Lazaro Nyalandu, kinyongo cha Uwaziri kitakuponza

Mtukufu wenu alisema hataki kufukua makaburi, nimsapoti yeye au wewe na utumbo wako
 
Huu uzi ni wa kishirkina...kumjulia hali mgonjwa ndy wa mwanzo wa uppuuzi huu...Kila Roho itaonja maui tu. ...hata mseme mtakufa nanyi. ...sawa yy kakosa uwzr wewe umepata??
 
mmekosa sera na mtaja shtuka kumekucha endeeleni kutumia uwaziri kama kigezo,..mnampa moyo mteuzi ipo siku mtakimbiana.
 
Siamini kama Darasa la Dr. Sahinkuye lilibeba VILAZA kama wewe. Nimesoma na huyo mdogo wake Lazaro, class Moja, hivyo nawe ni classmate wangu. Najuta Sana kuwa na classmate disign yako, Sasa naamini wengine mlikuja shule kukua ama kusomea Ujinga. Ni dhambi kwa kijana Msomi kufanya kazi ya Propaganda za CCM!
Wewe nae unajiita msomi?!!...Kweli nyani haoni kundu.e!!!!!!
Bullshit go to hell
 
Back
Top Bottom