Kumbe hata kina Nassari walikuwa wakimsingizia tu huyu ndg kwa yote waliyopata kumtuhumu kipindi kile?Nisaidie jawabu tafadhari!Watashindana lakini hawatashinda!
Kwa nyimbo na mapambio.Wapinzani wa nchi hii ktk ubora wenu!Balozi kagasheki, Maige, Maghembe hawa kigwangala hajawaona
Ninachojua mimi hakuna waziri aliefanya vyema kwenye wizara ya maliasili kama Lazaro nyalandu
Mkuu nimeitafuta sana hii picha , asante sana .Kigwangala kasahau kuwa ni juzi tu alikuwa akikimbizana na polisi na takukuru.
View attachment 630189
Na tibaijuka ili kukata mzizi wa fitna!Natamani sana chenge ahamie Chadema
Nimemsoma nyalandu kaandika fact tupu,Tuhuma nyingi kapewa kumbe hata hakuwa waziri,Huyu Kigwagala ni mtu wa ajabu kama Baba yao ngosha
hahahahahahha alifanya nini jamani. tz kunavitukoKigwangala kasahau kuwa ni juzi tu alikuwa akikimbizana na polisi na takukuru.
View attachment 630189