Lazaro Nyalandu-CCM president candidate 2015!

Taarifa za kiintelijensia zilizotua kwenye dawati langu hili muda si mfupi uliopita ni kwamba jamaa ana support ya mwenyekiti na kanisa katoliki pia!kuna watu wana bahati duniani hapa,yani from no where mshkaji anakubali na tasisis nyeti kiasi hiki?ama kwa hakika hii ni habari mbaya sana kwa Lowassa na mtandao wake!
 
Kama Nyalandu anafaa kuwa rais basi na dog wangu aitwaye Tamba anafaa. Urais mwadhani mchezo hata kama Jakaya ameushusha hadhi? Think again especially twice or thrice before you burn your fingers.
 
Kama Nyalandu anafaa kuwa rais basi na dog wangu aitwaye Tamba anafaa. Urais mwadhani mchezo hata kama Jakaya ameushusha hadhi? Think again especially twice or thrice before you burn your fingers.

Urais hausomewi mzee,kama ingekua hivyo kila mtu angependa kuchua hiyo course...hata mkapa wakati nyerere anasema huyu ndio rais wengi tuliguna,lakini alikua rais wetu kwa miaka kumi,tanzania haitakuja kuwa na rais kutoka mbinguni kila wakati rais atatoka miongoni mwetu,tutamchukia wengine tutampenda lakini atakua ndio rais wa tanzania!why asiwe nyarandu si miongoni mwetu au?mi nasema lolote linawezekana ni suala la kusubiri na kuona!
 
kwa kupitia chama kipi
sasa huyu popi wako
atagombea

Kama Nyalandu anafaa kuwa rais basi na dog wangu aitwaye Tamba anafaa. Urais mwadhani mchezo hata kama Jakaya ameushusha hadhi? Think again especially twice or thrice before you burn your fingers.
 
Hivi ukwata ni kitu gani wadau??serious sielewi,nimevumili naona neno hili linajirudia rudia tu nimeona nivunje ukimya,kuuliza si ujinga,na jamaa alihusika vipi na huo ukwata wenyewe?
 
huyu kidogo kwa watu wa ccm angalau anafaa,lakini mafisadi watamchafua muda si mrefu,namuonea huruma sana,bora angeenda zake upinzani!
 
Lengo sio ccm bali tunataka wagombea wote wa vyama wawe ni "cream" ili tujihakikishie kumpata rais bora,ndio maana kwa sasa wapenda mabadiliko kama mimi ambao hatuna chama tumeamua kujitolea kuisaidia ccm ipate mgombea bora ili tutakapokwenda kwenye uchaguzi tujihahakikishie kutokua n hofu kwa yeyote atakaeshinda!
 
Taarifa za kiintelijensia zilizotua kwenye dawati langu hili muda si mfupi uliopita ni kwamba jamaa ana support ya mwenyekiti na kanisa katoliki pia!kuna watu wana bahati duniani hapa,yani from no where mshkaji anakubali na tasisis nyeti kiasi hiki?ama kwa hakika hii ni habari mbaya sana kwa Lowassa na mtandao wake!
Hayo ni maneno yako tu, kutembelea masoko ndio liwe chaguo la ccm? Mbona bei ya bidhaa haipungui, binafsi simfahamu kabisa wala hauziki labda matokeo yachakachuliwe tena. Naona mmetumwa mtubip hatupigi ng'o. Hatuungi mkono hoja.
 
Mwalimu aliwahi sema,atuchagui raisi kwa kuangalia sura yake nzuri,kama sura nzuri mkaribishe kwako kunywa nae kahawa na piga naye story,lakini sio ikulu.IKULU NI MAHALA PATAKATIFU,IKULU SIO PANGO LA WALANGUZI,IKULU HAKUNA BIHASHRA YOYOTE,UKIONA M2 ANAKIMBILIA IKULU MUOGOPE KAMA UKOMA.......
 
huyu mlokole atapaweza pale magogoni kweli? ....pale panahitaji mtu anayekunywa konyagi
 
Back
Top Bottom