Wont be the same
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,564
- 2,483
Aliyewahi kuwa Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu amechukua fomu ya kuwania ubunge katika Jimbo la Ilongero mkoani Singida.
Nyalandu amewahi kuwa mbunge wa jimbo hilo zamani likiitwa Singida Kaskazini kwa vipindi viwili, amekabidhiwa fomu hiyo mapema leo Juni 28, 2025 na Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya, Hanzurun Mtebwa
Itakumbukwa kuwa Nyalandu aliwahi kuhama CCM na utimkia CHADEMA ambapo mwaka 2020, alichukua fomu ya kuwania Urais kupitia CHADEMA.