Hahahahaha yaaani inaonekana kabisa ni fakeAliyekuwa Mbunge wa Singida Kaskazini CCM, aliyejiuzulu Lazaro Nyalandu amefunguka na kukana kuwa katika Group la mtandao wa Kijamii WhatsApp na kusema kuwa hajawai kuwa kwenye Group hilo na kusema kuwa siasa za kuzushiana Mambo sio za kistaarabu na za kizamani.
wanatengeneza wenyewe ili tuwaongeleeTehteh... Waliotengeneza wawe creative basi hata kidogo.
Ssm tumebaki wachache tulio na akili zetu, wengi wetu tayari maiti..!Angekaa kimya tu
Inaonesha anafikra zisizomuisha kusaka habari zake mitandaoni.
Haya mliomkaribisha mteteeni au!?
Hapa kazi tu
Ni kiboko
Kama sio za kweli lazima ajitokeze na kukanusha.Angekaa kimya tu
Inaonesha anafikra zisizomuisha kusaka habari zake mitandaoni.
Haya mliomkaribisha mteteeni au!?
Hapa kazi tu
Ni kiboko
Aliyekuwa Mbunge wa Singida Kaskazini CCM, aliyejiuzulu Lazaro Nyalandu amefunguka na kukana kuwa katika Group la mtandao wa Kijamii WhatsApp na kusema kuwa hajawai kuwa kwenye Group hilo na kusema kuwa siasa za kuzushiana Mambo sio za kistaarabu na za kizamani.
PatheticAngekaa kimya tu
Inaonesha anafikra zisizomuisha kusaka habari zake mitandaoni.
Haya mliomkaribisha mteteeni au!?
Hapa kazi tu
Ni kiboko