Lazaro Nyalandu akana Habari ya Kutungwa na Uzushi iliyoripotiwa kwenye Group la WhatsApp

Yaan group lina watu wanne alafu mbowe hayupo katika group lakini kachangia na jina lake limetokea yaani kaseviwa.

Yaan ubunifu hapa sufuri. Hivi toka lini Whatsapp imeanza kupanga kuanzia herufi "M" alafu ikaja "N" yaani linaanza jina la Msigwa alafu Nyarandu ila hizi comments ndo zinawafanya siku nyingine waitengeneze itakayofanana na ukweli
 
Afu group lenyewe lina member wa 3
Mh Mbowe
Msigwa
Nyalandu na
uyo Kiazi alie tengeneza ilo group

....
vijana wa Lumumba ubunifu ni Zero kabisa
 
Haihitaji akili kubwa kujua kuwa ni fake.
Group la chadema lina watu wanne tu?
Lugha inayotumika tu unajua ni fake?
Wachangiji nao ni wawili tu
Fake fake fake siasa za kisengerema
 
9956336bdbabd4963b63230b811aee2e.jpg


Haahahahahah lumumba bhana muwe mnawaomba hata wataalam wa IT wawasidie mnapotaka ujinga wetu,kwa haraka haraka mm nimeona makosa 2 kwenye charts,
1)group lina member 4, its means hilo group kabla ya Nyalandu lilikuwa na wanachama 3
2)Mbowe kwenye group hayupo lkn jina lake linaonekana kwenye charting
 
Akizungumzia jambo hilo hilo ameakinda pia kupitia ukurasa wake wa Instagram;

FAKE NEWS ALERT:- Habari hii hapa Chini ni ya KUTUNGWA na ni UZUSHI! Sijawahi kuwa kwenye GROUP hili la kutunga wanaloliripoti. SIASA za kuzushiana Mambo sio za kistaarabu na ni za kizamani.

Aibu! waongo wote sehemu yao ni katika ZIWA liwakalo MOTO na kiberiti.

Tuwapuuze!
 
Hakuna msafi CCM hata mmoja. Rushwa na ufisadi ndio uhai wa CCM, hivyo hufanywa na CCM kama taasisi. Kwa hiyo huku kumshambulia na kumtuhumu kuna maana nyingi mojawapo ni kujihami kama taasisi asije akawaanika maani ni kweli CCM kama taasisi ndio mnufaikaji wa wazi wa rasilimali za nchi, rushwa, ufisadi na mambo kama haya.
 
Mkuu Troll JF umepamisi kifungoni kwako? Maana, kwa jinsi ulivyoandika kichwa cha mada, ban haiwezi kukuepuka. Unamwita jangili kwa ushahidi upi? Acha siasa chafu kwenye maisha ya watu

Uko sahihi Petro, wanajihami tu maana hayo wanayomtuhumu nayo aliyatenda akiwa CCM na kwa faida ya CCM. FACT. Wanajaribu bila mafanikio kucheza na akili za Watanzania tu.

It's like someone shooting his own foot!
 
Hakuna cha kutengenezwa wala nini hiyo ni kweli ngoja tumsubiri mtu maarufu wa system kutoka JF aseme ukweli, ila bila kupepesa macho huo ni ukweli mtupu bado zingine!!
Kweli wewe huna akili. Kwa hiyo Mbowe alichukua simu ya Nyalandu kumjibu Nyalandu? Tumieni akili mnapotengeneza uzushi wenu, mnakiaibisha chama chenu na viongozi wenu wanaobariki na kuulipia ujinga kama huu
 

Yani CCM ni wajinga wa viwango vya kimataifa..

Mnamshutumu sana Nyalandu wakati humo ndani ya nyumba yenu Mmemkumbatia Chenge..!!

Ni akili hiyo??

Mnasubiri Chenge nae ahame ndio mumwite mwizi??

Kama nyie wanaume Mshugulikieni Chenge sasa hivi..

Shubaammiitt.
 
Kweli wewe huna akili. Kwa hiyo Mbowe alichukua simu ya Nyalandu kumjibu Nyalandu? Tumieni akili mnapotengeneza uzushi wenu, mnakiaibisha chama chenu na viongozi wenu wanaobariki na kuulipia ujinga kama huu
Aisee unanifanya niikose leo buku saba!!!
Ahsante sina akili lakini umetisha sana aisee!!!
 
CCM imefika mwisho

Ndio maana yule dada wa ughaibuni jana kawachana kuhusiana na hii message ya kutengeneza mlizoanza kuisambaza tangu jana.
 
Back
Top Bottom