Lazaro Nyalandu akana Habari ya Kutungwa na Uzushi iliyoripotiwa kwenye Group la WhatsApp

Ghazwat

JF-Expert Member
Oct 4, 2015
23,718
66,261
Aliyekuwa Mbunge wa Singida Kaskazini CCM, aliyejiuzulu Lazaro Nyalandu amefunguka na kukana kuwa katika Group la mtandao wa Kijamii WhatsApp na kusema kuwa hajawai kuwa kwenye Group hilo na kusema kuwa siasa za kuzushiana Mambo sio za kistaarabu na za kizamani.
e0a363862a4f75ea723b5cc774478acc.jpg
89db018c15cf7543b95a571f23c88910.jpg
 
Hahahahaha yaaani inaonekana kabisa ni fake
 
Angekaa kimya tu
Inaonesha anafikra zisizomuisha kusaka habari zake mitandaoni.

Haya mliomkaribisha mteteeni au!?

Hapa kazi tu
Ni kiboko
 
Kuanzia simu yenyewe iliyotumika kuscreenshot utajua ni uongo laini kabisa..

Hizi zama kuna wajinga wengi sana..

Hilo kundi la akina Mbowe awepo mtumiaji wa Tecno hiyo ya bei chee..

Labda chadema taifa ya wafanyakazi wa ndani!
 
Angekaa kimya tu
Inaonesha anafikra zisizomuisha kusaka habari zake mitandaoni.

Haya mliomkaribisha mteteeni au!?

Hapa kazi tu
Ni kiboko
Kama sio za kweli lazima ajitokeze na kukanusha.

Wewe unataka akae kimya kama ninyi mnavyokaa kimya mkituhumiwa??

Mzima coco??
Miss you moree
 
Aliyekuwa Mbunge wa Singida Kaskazini CCM, aliyejiuzulu Lazaro Nyalandu amefunguka na kukana kuwa katika Group la mtandao wa Kijamii WhatsApp na kusema kuwa hajawai kuwa kwenye Group hilo na kusema kuwa siasa za kuzushiana Mambo sio za kistaarabu na za kizamani.
e0a363862a4f75ea723b5cc774478acc.jpg
89db018c15cf7543b95a571f23c88910.jpg

group linawatu wa3 tu

maana hio 'you' huwa mwisho wa member

ccm vilaza
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom