Lazaro Nyalandu akana Habari ya Kutungwa na Uzushi iliyoripotiwa kwenye Group la WhatsApp

aluetengeneza hilo group hakujiongeza watu wa 4 kweli hio ni m4c ya wap
alafu Sidhani kama kuna chadema taifa anatumia tekno ya bei nyepesi kama hio
 
Kwa upande mwingine inaweza ikawa ni wao wenyewe wamejitungia kuwa wanazushiwa...

Hennything is possible kwenye politricks
 
Habari hii ni tata tu waweke namba zao tukathibitishe tisiaraei ili tujilizishe kama ipo au haipo
 
Tehteh... Waliotengeneza wawe creative basi hata kidogo.
Haha chief waliotunga sijui kama wanashule kwa kwel.

Angalia majina yalivosaviwa
MSIGWA,MH,NYALANDU,YOU
Ok sasa ktk chatting imesoma mh mbowe si ndio !
Staki kuonesha ubashite wao nadhan utajiongeza hapo kuna makosa makuu mawil kwanza.
 
Angekaa kimya tu
Inaonesha anafikra zisizomuisha kusaka habari zake mitandaoni.

Haya mliomkaribisha mteteeni au!?

Hapa kazi tu
Ni kiboko
Mbona hueleweki wewe mama na hizo comment zako. Au kichwa kutetemeka ndio kupagawa mapepo au ?
 
Yaani kwa jinsi majibizano yanavyotiririka no dhahiri shadhiri ni uvccm hao! Huwaga hawako creative hata kidogo! Aibu yako Pole pole! wewe ni taahira!!
 
Yaani kwa jinsi majibizano yanavyotiririka no dhahiri shadhiri ni uvccm hao! Huwaga hawako creative hata kidogo! Aibu yako Pole pole! wewe ni taahira!!
 
Angekaa kimya tu
Inaonesha anafikra zisizomuisha kusaka habari zake mitandaoni.

Haya mliomkaribisha mteteeni au!?

Hapa kazi tu
Ni kiboko
siku nyingne mkiwa mnatunga upuuzi wenu muwape kaz wenye akili msifanye nyie wenyewe
ona sasa M4C ina watu wa nne tu hahahaaaa
 
Back
Top Bottom