Lazaro Mambosasa aondolewe Dar es Salaam

Sirro akimuacha huyu atatoka yeye
 
Kumbe IGP hana uwezo wa kuhamisha baadhi ya ma RPC , imedhihirika kwa Mambosasa
 
Amekiuka GPO kwa sababu za kisiasa ni wakutimuliwa outright.
 
yes si kila polisi anawez kuwa kamanda wa dar
 
yes si kila polisi anawez kuwa kamanda wa dar
Taarifa zinaonyesha kwamba Mambosasa ndio RPC duni kabisa kuwahi kuhudumia DSM , hata polisi wadogo wanamshangaa na taarifa zinadokeza kwamba wanamdharau vibaya sana !
 
Mkuu hiyo taarifa yako unahisi itakuooza machungu uliyonayo??? [emoji23][emoji23][emoji23] pole sana mkuu
 
Kawapiga vice vizuri hadi mnaomba po! Khe khe khe khe eeeeeeee
 
Kumbe ukicheza sinema, huwezi kuja kuwa muimba kwaya. Lazima utarudi kwenye roots
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…