Meaning that it is not one of the greatest?
These things are very subjective.
True. Kwa mfano, Mtanzania anaweza kuiangalia filamu ya About Schmidt na kuipenda tuu kwa sababu ya Schmidt ku-foster Ndugu Umbo, mtoto yatima wa Kitanzania, na jinsi alivyokuwa anawasiliana nae kwa barua.
Lakini sidhani kama Mhutu wa Rwanda anaweza kusema Shooting Dogs was the best ever made movie concerning Rwanda.
Yes there is Bad Movie, Bad Story, Inaccurate story, bad acting, boring etc..
Brave Heart ni movie ambayo actor amefanya vizuri, ila ukimuuliza mtu wa Scotland haipendi sababu anakwambia kwamba a Yankee (American) hawezi kumu-act m-Scottish na kwamba alikosea.., au zile movies za commandoes zinazowapiga Vietnamese, mtu wa Vietnam atakwambia zipo biased.., ila kwa mtu anayeangalia movie with a clean mind bila biasness atatoa points kwa kila kipengele.., au kuna mwingine Classic movies nyingine hawezi hata kuangalia sababu tu ni Black and White.., Movie kama Casablanca mtu atachoka kuangalia kabla ya kufika mwisho au kujua kwamba utamu wake upo kwenye the story behind..
Of course Not... you know Greatest is normally taken very lightly.., and I can name a million movies better than this one..
and all of those in the times of Citizen Kane.., you know to have a great movie there must be a marriage between a plot, story and great executioners (actors).., therefore an otherwise great or mediocre movie can look great or not so good because of the actors, you see a movie like the Apartment.., if I tell you the plot is very thin but the actor Jack Lemmon made it a classic.., or the postman always rings twice (the story and dialogue are great) or the comedic value in Some Like it Hot..., so you see I would put all those movies I have mentioned above Citizen Kane and would never put Great in One sentence with Citizen Kane.., but its watchable and an okay movie and not boring at all
Nafikiri hata mtu kusema this is one of the greatest movie inaweza kuwa subjective pia.
Kwa mfano, kuna mtu nabishana nae kila mara ipi ni greatest gangster film ever made.
Yeye anasema kwa kwake ni The Godfather II, lakini kwangu naona ni Goodfellas.
Sijawahi kuangalia any of The Godfather films mpaka mwisho because baada ya dakika kadhaa huwa zinaniboa.
But to others ukiikandia The Godfather unaweza kudhaniwa kuwa ni punguani.
I am sure mwingine atakuambia Pulp Fiction or Scarface is the greatest one.
Na mwingine anaweza kukuambia ni The Departed, japokuwa another may question whether it is a gangster film in the first place.
Ofcourse lakini ukisema Michael Jackson had talent wengi watakusikiliza ingawa wapo (kama wapo watakaobisha) lakini ukisema Milli Vanilli had talent walikuwa na talent watu watakuona kichaa au unatania..Nafikiri hata mtu kusema this is one of the greatest movie inaweza kuwa subjective pia.
Kwa mfano, kuna mtu nabishana nae kila mara ipi ni greatest gangster film ever made.
Yeye anasema kwa kwake ni The Godfather II, lakini kwangu naona ni Goodfellas.
Sijawahi kuangalia any of The Godfather films mpaka mwisho because baada ya dakika kadhaa huwa zinaniboa.
In the world of gangster movies watu hawatakuelewa mkuu.., what is lacking.. ?, Story, Actors au Cinematography.., bila kusahau one liners ambazo zinatumika kwenye nyanya nyingi za movies kwa sasa.., ni sawa sawa na watu kutoipa the Matrix Kudos zake kwa kutuletea zile fightings watu wanapigana alafu inaweka slow motion hewani hewani.. (that was ground breaking mkuu )But to others ukiikandia The Godfather unaweza kudhaniwa kuwa ni punguani.
Pulp Fiction bila u-genius wa Samuel Jackson isingependwa kama inavyopendwa (ingawa nadhani kwenye kazi zake the Negotiator is better) ila tukija kwenye Gangster movies hizi ni just a segments ya mambo ambayo yapo kwenye Godfather (its so much more..) unless you like your movies straight forward with a lot of killing and swearing.I am sure mwingine atakuambia Pulp Fiction or Scarface is the greatest one.
Na mwingine anaweza kukuambia ni The Departed, japokuwa another may question whether it is a gangster film in the first place.
I found The English Patient very boring, what say you sun wu?
By the way nadhani unakubaliana na mimi just because a movie is boring does not necessarily mean its Bad ingawa pia kuna some Bad Boring Movies.., na just Bad Movies.., ila kuna movies kama wangeweka a good dialogue, with some good actors huenda the same boring movie ungeiona better..., By the way what's with Titanic hivi watu wanaosema hii movie ni great what do they see in it.., (even the romance I have seen better) kwakweli movies kama hizi ndio zina-dilute the word Great.
Mimi movie ikiwa boring manake ni bad.
Kwa sababu nikiwa bored katika movie, manake hiyo movie si nzuri kwangu.
Sasa suala linakuwa jee kiwango cha mimi kuwa bored kinalingana na mwengine?
Bila ya shaka haipo hivyo, lakini pia siwezi kuacha kusema film fulani si boring kwa sababu watu wengine kwa pace ile ile na kile kile kilichomo wanaiona sio boring
Kuna watu wakiangalia musicals au movie za kihindi sababu ya nyimbo nyimbo na kulia kwingi wanakuwa bored ingawa huenda movie hio hio ikawa na story story, actors mahili as well as awesome cinematography.., huoni kwamba labelling such a movie boring is misconception ?
Pia kuna watu wakiangalia movie wanalala kwa boredom au wengine bila kuona ngumi, au watu kuuwana wanakuwa bored as well as mwingine akiangalia sitcoms anakuwa bored (no actions) sasa tunaweza kusema hizi movies ni boring au such a movie does not cater for ones taste ?
Labda tungejiuliza what is boring ?
Is slow paced boring ?, is monotonous boring ? au bad acting ?
Je mtu akija kwako akakwambia Scarface (action packed movie) ni boring utamuelewa.., au utasema katumia neno ambalo sio..
Au the Negotiator au The City of God akisema ni boring utamuelewa au utadhani either he/she did not get the plot, taste yake ni different au alikuwa na usingizi wakati anaangalia au copy yake ilikuwa pirated (decrease the viewers entertainment) ?
Gaijin then there is no point of saying anything about a movie since people have different taste.. nor there is no point of saying sugar is sweet because there are people with bad taste buds..
Unapo-associate boring and a movie wakati unaelezea movie fulani mtu anajenga picha fulani ambayo huenda hauitendei haki movie ile kwa kuita neno lile..,
Example kama sipendi indian movies naweza kusema indian movies are boring.., lakini when talking about Andhaa Kanoon au ile Kuch kuch.. it means nina interest kwenye indian movies kwahio kusema Andhaa Kanoon is boring (sababu ni subset ya Indian movies) takuwa nina-mislead sababu it shows hii movies ni boring just sababu ni un-stimulating ingawa kumbe sababu yangu ni my dislike of Indian movies
Unapozungumzia "Movie za Kihindi ni boring", hiyo ni generilization ambayo inafaa kuepukwa.
Lakini sioni kwa nini akitokea mtu akasema Andhaa Kanoon ni boring, tukamuona hajaitendea haki filamu hiyo.
Nafikiri hata mtu kusema this is one of the greatest movie inaweza kuwa subjective pia.
Kwa mfano, kuna mtu nabishana nae kila mara ipi ni greatest gangster film ever made.
Yeye anasema kwa kwake ni The Godfather II, lakini kwangu naona ni Goodfellas.
Sijawahi kuangalia any of The Godfather films mpaka mwisho because baada ya dakika kadhaa huwa zinaniboa.
But to others ukiikandia The Godfather unaweza kudhaniwa kuwa ni punguani.
I am sure mwingine atakuambia Pulp Fiction or Scarface is the greatest one.
Na mwingine anaweza kukuambia ni The Departed, japokuwa another may question whether it is a gangster film in the first place.