Lawrence Mafuru: New MD NBC (T) Ltd

Hongera sana wa nyumbani..kwa wale ambao hamjui....Mafuru ndo Masanilo. So keep your heads up kwa utendaji unaoendana na taaluma yake.... Upele umepata mkunaji.....lol...

Hongera sana Port! Nakutakia utendaji mwema wenye mafanikio. Lakini nakuasa...Usituaibishe kama yule jirani yetu mwingine aliyeiba kodi za wakulima na wavuvi wa nchi hii...na kuhamishia vijisent huko kwa akina Mwanakijiji!
 
Hongera Mafuru, new MD. We believe Yes we can pamoja nawewe. Change is what we believe.
 
Hongera sana wa nyumbani..kwa wale ambao hamjui....Mafuru ndo Masanilo. So keep your heads up kwa utendaji unaoendana na taaluma yake.... Upele umepata mkunaji.....lol...

Hongera sana Port! Nakutakia utendaji mwema wenye mafanikio. Lakini nakuasa...Usituaibishe kama yule jirani yetu mwingine aliyeiba kodi za wakulima na wavuvi wa nchi hii...na kuhamishia vijisent huko kwa akina Mwanakijiji!

Hahahahaha hapana ndugu yangu! Mimi nitabadili mfumo mzima wa kiundeshaji, benki itakuwa inakwenda kifaida zaidi. Mianya ya wizi na kuweka pesa chafu za wizi kama EPA imefikia mwisho. NBC nitaipeleka next nevel credit card na visa card zaja, banking online facilities, watanzania mtanufaika sana. Niungeni mkono na ushauri chanya nitaupokea.

Watanzania tuna weza kukipewa nafasi

Masa aka Mafuru

There are currently 29 users browsing this thread (1 members and 28 guests)
 
Kaka hongera sana!!
Ywakutakia kheri!!
 
The youngest, the biggest, nk. hivi visiwe vigezo vya kumpa hongera.

Tusubiri tuone performance maana ni wengi waliowahi kupewa hongera kwa uteuzi na kusifiwa ni youngest, it is bla bla! ...... Matokeo yake ni aibu tuuuu! Munakumbuka uteuzi wa boss wa PPF?

Kuna aibu zaidi ya Mwenyekiti wa bodi ya benki ambae pia ni Kiongozi mkuu wa NSSF kuficha fedha nyumbani kwenye godoro badala ya kuweka benki!!! Hii ndio bongo na jamaa bado anadunda tu na kwa mtindo huu wa kutowajibishana wafadhili lazima watasitisha ufadhili wao kwenye mambo mengi ya serikali hii kwani mambo yake ni ya kisanii sanii!!
G.T amezidiwa kete hapo ingekuwa amri yake angepewa Juma!!
 
Kwa wanaomfahamu tunaomba wasifu wake, ili nasisi tusiomfahamu tumfahamu.

Hongera bwana Mafuru
 
Hongera Mafuru, I wish nisingekuwa sipendi kufanya kazi sekta ya benki... ningekuja kukuunga mkono maana matatizo ya NBC yanaileweka ni mifumu ya technologia ya habari...
 
Mitanzania bwana??? ....ah....toa hongera baada ya kuona kazi nzuri na siyo kuona sura ya mtu, mbona JK anasura ya ujana lakini mzee na kashindwa nchi???
 
Wiki hii imekua ya heri sana kwa watanzania wazawa walala hoi, Hongera Lawrence kwanza kama unavyoona umma wa watanzania ulivyozizima kwa shangwe za habari hizi kwa kuwa tunajua nafasi hiyo umeipata kihalalil bila kujikomba wala ku lobby wala kubebwa na chief secretary hadi ku temper na vigezo vya nafasi yenyewe. Wewe utafika mbali siyo mjikombi huna makuu mchapa kazi hatujiulizi umefikaje hapo unlike wengi wa wanaojiona peers wako wanakazana sana kuoomba vyeo wakati wengine hata uwezo hawana wamebaki kujikomba kwa wazungu kwa kuwakandamiza wenzao na kujiita vyeo ambavyo sio walivyonavyo ili mradi kutafuta ujiko. Kazi kubwa uliyonayo tafadhali sana wape wazawa vijana wanaotaka kufanya biashara access ya mikopo, Ninaamini kwako wewe hilo linawezekana kabisa
 
He is indeed young, well educated and hard working. I can only wish him well but he should look at other young guys who were elevated like him, only to find out that their contracts were not renewed any further and reasons advanced were that the shoes were too big to fit (so I am told). This hapenned to guys at Barclays and Akiba Commercial Bank who were young, brilliant, well educated and indigenous.
 
Hongera Lawrence Mafuru; lakini mimi nina caution kidogo hasa baada ya kufanya na hawa wazungu for years now... Mara nyingi ukiona wanalibwaga hilo dude [shirika] ujue either limewashinda au lina masoo kibao!!!!

surely NBC ni hot chair na lina soo kupita tanesco!!! cha kufanya baba... PROVE THEM WRONG!!!!

DO YOU BEST AND FIX THE NO BODY CARE BANK!!
 
Wakuu nimezidaka sasa hivi kuwa kuanzia tar 1/6/2010 Lawrence Mafuru atakua Managing Director wa NBC(national Bank of Commerce), Kabla ya hapo alikua Head Of Treasury....The guy is smart and he real deserve that post, Big up kwake na kwa familia yake na kwa vijana kwa ujumla....wabongo tunaweza!!!!!!!!!!:A S 100:
 
This is not a breaking news bro, hii habari imejadiliwa hapa toka jana. Nenda kwenye link ya Jukwaa la Siasa utaikuta.
 
Nafikiri ataondoa na products zinazofungamana na imani za wateja kama "islamic banking". Ikitoka tu nitafungua tena akaunti ambayo nimeifunga hivi karibuni kwani niliipenda sana huduma yao ya internet banking - checking an account and sending money from a machine connecting to the internet ingawaje majitu yaliitumia hii huduma kwa kuiba mifedha.
 
Hongera Lawrence Mafuru; lakini mimi nina caution kidogo hasa baada ya kufanya na hawa wazungu for years now... Mara nyingi ukiona wanalibwaga hilo dude [shirika] ujue either limewashinda au lina masoo kibao!!!!

surely NBC ni hot chair na lina soo kupita tanesco!!! cha kufanya baba... PROVE THEM WRONG!!!!

DO YOU BEST AND FIX THE NO BODY CARE BANK!!

BOT's requirements na sio limewashinda, ilikubaliwa wazungu washike kwa muda wawafundishe wazawa management then waaondoke. Kuna vitengo kama vya idara ya mikopo na finance nao wanatakiwa wawachie wazawa ili mikopo itoke zaidi kwa manufaa ya makampuni ya watanzania na sio makampuni ya wawekezaji wa nje tu.
 
It is not a big deal.Teuzi nyingi za Bongo ni kisiasa .Atafanya nini kuzuia wizi wa benki,kutoa mikopo kisiasa etc!
Hawezi kuzuia docs kutoka BRELA zinazofungua account hewa na pesa kupitia hapo.Mafisadi wa CCM wataendelea kuitumia benki hii.

Tukumbuke manyanga ya Mkapa ,yalianzia katika benki hii.
Tusitegemee new things here.
 
Mkuu mwanamayu kweli nimekubali wewe ni mdini wa nguvu. Unafunga akaunti kwa sababu ya product ya Islamic Banking? It does make any sense than portraying you as a person who has not taken trouble to know the concept. Sasa si uende Ephata Bank au Mkombozi ili ukidhi matakwa yako ya kiimani. Kuwa visionary mzee!
 
Lawrence Mafuru, National Bank of Commerce who was The Head of Treasury has been appointed to be the bank's new Managing Director.

Lawrence will succeed Christo de Vries. The effective date is 1 June 2010.

Lawrence will also join the Absa Africa Executive Committee and Absa ALCO. As Managing Director, he will also sit on the NBC Board.

Lawrence joined NBC in 2007 from Standard Chartered Bank Tanzania where he had a successful tenure of close to 10 years. At Standard Chartered, he spent four years in Global Markets, where he was Head of Sales, Rates and Foreign Exchange –Global Markets wholesale Banking.

Lawrence is a certified Chartered Banker from the Chartered Institute of Banking (UK) and a Certified Treasury Practitioner – ACI Financial Markets.

Hongera sana mkuu tupo pamoja, he is the youngest MD NBC has ever had!
Japo nimechelewa,mie naomba source ya hii habari mkuu Nguli(samahani kama nimekukwaza)
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom