Jamani wakuu,Ndivyo walivyo.....kama huamini subiri waje hapa....
kwenye red ndo panakuwaga panahusika zaidi. blue sio kiivo sanaInawezekana wewe ndio chanzo.Hakuna mtu anyelalama bila sababu za msingi unless awe anamatatizo ya kisaikolojia.
Inawezekana wewe ndio chanzo.Hakuna mtu anyelalama bila sababu za msingi unless awe anamatatizo ya kisaikolojia.
sio kweli,hata kina baba wapo wanaolalama ile mbaya,tena mwanaume akiwa na gubu ndio weee nyumba haikaliki!!Ndivyo walivyo.....kama huamini subiri waje hapa....
Ha ha ha MJ1 dah asubuhi asubuhi tunaamkia na kucheka..dah kweli leo weekend itakua poa! thanks!!I am talking from my own experience yaani nilikuwa nabaki natumbua mijicho utadhani naingiza vocha kwenye simu!
Ndivyo walivyo.....kama huamini subiri waje hapa....
Nadhani usipo mpa attention ndo anaitafuta
Mbu umenichekesha hadi nikakumbuka swali ambalo huwa najiuliza mara kwa mara, mwanaume na mwanamke nani huwa anapenda kudekezwa sana.
Pole but tumetofautiana sana Mbu wapo wanawake walalamikaji na wale wasiolalama. Mimi huwaga najionea kila kitu sawa tu mpaka huwa naambiwa 'Sometimes be a lady kidogo, deka deka kidogo' Ila kama walivyosema wengine usiombe kukutana na mwanaume mwenye gubu utajuta!! I am talking from my own experience yaani nilikuwa nabaki natumbua mijicho utadhani naingiza vocha kwenye simu!
ndivyo tulivyo kidude kwa kweli
we and our needs come first muelewe hivyo alaaaaaah!!!
Alrite B, nimekusoma apo! leo umesema una nanihii eeh?
Yee Mungu ume edit B!!!!!
ndio leo ndo siku yenyewe
Lakini B ukilalamikiwa hujisikii raha kweli?? si sehemu ya mahaba tu!!!
hahahaha B,
Unajua 'kulalamika' kwa mahaba na mahanjumat bin 'Al-batar' ni tofauti na anayosema Mbu hapa.....
Mi nina bahati kubwa kweli sipati malalamiko ya ki ivyo, ila napata yale ya kiuhamasishaji B.....au nimeingia ndani sana sweetheart?