LAWAMA: Hasa toka kwa wanawake

mie bwana ninapenda uwazi na taarifa...mambo yakuwekana roho juu juu mie sipendi. hivyo mie naona sawa tuu mke gf wangu kujua mizunguko yangu itakuwaje.

is this u mzabzab au umempa pasword mtu, hivi na wewe una galfrend au unategemea kua na mke, uache basi kugegeda
 
Mimi huwa mke wangu hanipi ratiba kabisa wakuu!! Lakini cha ajabu mie namwambia kabisa ratiba yangu mapemaaa. Aisee inaboa sana ikishakuwa lopsides!! Bora kama wote hamuambizani!!
 
Back
Top Bottom