LAWAMA: Hasa toka kwa wanawake

Naamaanisha usalama wa maisha, hiki ni kizazi kingine kabisaa tofauti na kizazi cha mababu zetu. Leo hii ukisema mimi sitaki kutumia simu ili nifanane na enzi za mababu zetu jamii itakushangaa. Tunapaswa kuendana na mabadiliko hasa katika teknolojia.

Samahani wakuu kutumia mfano halisi katika kipindi cha majozi.

mzee Joseph Mwasokwa ameuawa kwa kuchinjwa usiku wa kuamkia leo jijini Mbeya na mwili wake kukutwa kwenye geti la nyumba yake, na inasadikiwa alikuwa kutazama mpira nyumba ya jiran, je ratiba ingesaidia kuokoa uhai wa mzee wetu? jibu ni hapana.

Mambo mengine katika ndoa nikujichanganya tu wakuu na kujitafutia pressure zisizo na maana wala lazima.
 
Ni wanaume wachache wenye positive perception kama wewe. Keep it up.

asante sana. ah unajua ukiingia kwenye relationship its no longer abt me its abt us. sasa wewe unashida gani kusema mizunguko yako kama kweli wewe huna baya unalofanya? alafu inasaidia ata kitu kikitokea people know wer to find u.
 
Just simple... Kama wewe unavyotaka ujue yeye atakuwa wapi na sa ngapi vivyo hivyo nae anatamani ajue ratiba zako.

Nawasilisha.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
mzabzab wewe unatoa taarifa?

mie bwana sipo katika relationship kama ujuavyo hivyo sidhani kama prostitute anahitaji mie kumpa taarifa nipo wapi.
am just saying hiyo for those who are in a relationship. unajua mtu ukimpenda alafu akwambii pirika zake anakuweka roho juu juu....hilo nilijifunza siku mama mzazi aliaga home kuwa anaenda sehemu and expected time atakaporudi...ah nimetulia home namsubiria naona muda unaenda tuu na wakati huo hamna hizi cellphones basi roho juu juu huna amani. so i think ni ustaarabu kumwambia umpendaye mizunguko yako ikoje na pia hii inadumisha trust maana kweli akikucheki na kweli upo sehemu uliyosema utakuwepo inampa imani kuwa huyu ni msema kweli. dnt ever ever plant seeds of doubt kwa mwenzi wako....and it starts by u being open abt ur day to day ways
 
Habari za jumapili mabibi na mabwana.....
Ningependa leo tujadiliane kuhusu LAWAMA hasa kutoka kwa wanawake. Kwa mfano, mmeo/boyfriend wako anapenda uwe unamjulisha ratiba zako. Ukitoka kazini au kwenye biashara zako utapitia wapi mpaka unapofika nyumbani lakini kwake yeye ni kinyume haweki wazi ratiba zake. Unaweza ukampigia simu kumuuliza yu wapi kwa wakati huo yeye akakujibu nipo kwenye kikao cha harusi (achilia mbali vikao vya kikazi au kibiashara hapa havihuasini) lakini hakukujulisha. Wewe mwanamke unaanza kulaumu ooh mbona hukuniambia kitambo mbona mimi hutoa ratiba zangu hata za salon?

Wanaume mnawachukuliaje wanawake wenye kulaumu kila wakati? Je ni sawa?

Wanawake je mnahandle vipi situation kama hii ya kulaumu laumu?

Karibuni kwa mjadala.
Kwani mumeo au mkeo ni wazazi .controlling and narcissistic partners ndio wanaoleza ratiba zao.no body runs my life
 
mie bwana sipo katika relationship kama ujuavyo hivyo sidhani kama prostitute anahitaji mie kumpa taarifa nipo wapi.
am just saying hiyo for those who are in a relationship. unajua mtu ukimpenda alafu akwambii pirika zake anakuweka roho juu juu....hilo nilijifunza siku mama mzazi aliaga home kuwa anaenda sehemu and expected time atakaporudi...ah nimetulia home namsubiria naona muda unaenda tuu na wakati huo hamna hizi cellphones basi roho juu juu huna amani. so i think ni ustaarabu kumwambia umpendaye mizunguko yako ikoje na pia hii inadumisha trust maana kweli akikucheki na kweli upo sehemu uliyosema utakuwepo inampa imani kuwa huyu ni msema kweli. dnt ever ever plant seeds of doubt kwa mwenzi wako....and it starts by u being open abt ur day to day ways

So una deal na prostitutes? Shocked.
 
Samahani wakuu kutumia mfano halisi katika kipindi cha majozi.

mzee Joseph Mwasokwa ameuawa kwa kuchinjwa usiku wa kuamkia leo jijini Mbeya na mwili wake kukutwa kwenye geti la nyumba yake, na inasadikiwa alikuwa kutazama mpira nyumba ya jiran, je ratiba ingesaidia kuokoa uhai wa mzee wetu? jibu ni hapana.

Mambo mengine katika ndoa nikujichanganya tu wakuu na kujitafutia pressure zisizo na maana wala lazima.
Ni kweli.i can't imagine Natalia eti mume wangu ajue ratiba divorce siku hiyo hiyo
 
Kijana ukitulia upo fresh!

hahaha asante nasema wee. mie dada yangu mambo ya relationship nayajua sema tuu yule dada aliyeniliaga hela yangu na kutonipa bupa ndio amenifanya niwe mzee wa kugegeda. ila i know there is a woman, a strong woman out there that will set me straight and will one day extricate myself from this devilish lifestyle i live now
 
asante sana. ah unajua ukiingia kwenye relationship its no longer abt me its abt us. sasa wewe unashida gani kusema mizunguko yako kama kweli wewe huna baya unalofanya? alafu inasaidia ata kitu kikitokea people know wer to find u.

Uneoa stranger nini?ratiba for what ?
 
So una deal na prostitutes? Shocked.

well its not sumthing to be proud off but ladies dnt want sexmate relationships, i dnt want a serious relation since i know i will have to forego my freedom na mwili nao ndio unawaka moto...either i become a master of masturbation or go to prostitutes. i chose the latter
 
Uneoa stranger nini?ratiba for what ?

sijakwambia ratiba bwana wewe. ni ile unaenda sehemu basi unaaga kuwa nitakuwa sehemu fulani na expected time kuwa back ni hii. now is that too much to ask for someone u claim to love?

alafu wewe ndio umeolewa na mzungu, mwe!!!
 
well its not sumthing to be proud off but ladies dnt want sexmate relationships, i dnt want a serious relation since i know i will have to forego my freedom na mwili nao ndio unawaka moto...either i become a master of masturbation or go to prostitutes. i chose the latter

Pole sana. Why not choosing abstain?
 
mie bwana ninapenda uwazi na taarifa...mambo yakuwekana roho juu juu mie sipendi. hivyo mie naona sawa tuu mke gf wangu kujua mizunguko yangu itakuwaje.

Ningekugongea LIKE lakini natumia simu, UWAZI ndiyo dawa ya yote haya! Ukitaka kuwa na raha kwenye mahusiana hasa ndoa weka kila kitu mezani full stop!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom