Law School of Tanzania

Wakuu
jana wanafunzi wa LST kampasi ya DUCE walikuwa wanamalizia mgomo (kipofu) wao.
Nilishtushwa sana mgomo huu waliouitisha ambapo kama nilisema awali kuwa kosa walifanya wao la kutojiridhisha kama wameelewa maandishi yaliyoandikwa kwenye form hivyo wakajifunga wenyewe.
Ama kusema aina hii ya wanazuoni ambapo hapo baadaye watakuja kuwa wanasheria wetu wanaonesha kiwango kikubwa cha kutokuwa makini. nashindwa kuamini.

Ila naamini kuwa ni busara njema za serikali kuwavumilia na kutowachukulia hatua baada ya kuwaelewesha makosa yao hata baada ya kuanzisha mgomo ambao umevuruga ratiba ya kumaliza masomo.
 
Back
Top Bottom