LAW SCHOOL OF TANZANIA, lini application? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

LAW SCHOOL OF TANZANIA, lini application?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by paesulta, Aug 16, 2011.

 1. paesulta

  paesulta JF-Expert Member

  #1
  Aug 16, 2011
  Joined: Mar 13, 2009
  Messages: 227
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Samahani kama naposti kusiko.
  Kwa anayejua,je ni lini wanaanzan application kuingia Law School of Tanzania kwa intake ya january 2012? maana website yao hata haina chochote cha kueleweka wala matangazo......
   
 2. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #2
  Aug 16, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Nliona juzi 12 august ilikuwa mwisho ,kwa wanaoanza sept sidhani watapublish kwa sasa mpaka hawa waliomba wachaguliwe!
   
 3. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #3
  Aug 16, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  Website ya wasomi haina chochote cha kueleweka? Kulikoni nyie wasomi wa the world renowned UDSM faculty of law?
   
 4. K

  Karry JF-Expert Member

  #4
  Aug 17, 2011
  Joined: Mar 26, 2011
  Messages: 266
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  kwa january vuta subira nazani kwenye kuanzia mwezi wa 10 hivi
   
 5. paesulta

  paesulta JF-Expert Member

  #5
  Aug 17, 2011
  Joined: Mar 13, 2009
  Messages: 227
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Kwani wanachukua watu mara ngapi kwa mwaka?Mi nilidhani intake ni january,na applications ni september ya kila mwaka?
  usiniambie kila mwaka wanabadilisha taratibu.........
   
 6. MKUNGA

  MKUNGA JF-Expert Member

  #6
  Aug 18, 2011
  Joined: Dec 10, 2009
  Messages: 443
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Websites nyingi za umma hawaziupdates, ucje ukarely nazo kabisa na utakuta system admin yupo anakula korosho na soda huku akichati ktk facebook akingoja siku iishe arudi home. Bora wazifute hizi websites
   
 7. n

  nasanga New Member

  #7
  Sep 16, 2012
  Joined: Sep 15, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  yani website haina lolote,mi toka nimeanza kusearch,leo ndio nimeona
   
Loading...