Yatosha mwanafunzi kuwa kama mwalimu wake.(Jesus).Wengi hatujuwi hii law na wengi inatutesa mpaka makaburini.
Kumbe inakupasa kuwa makini sana unapo kuwa unaongea na kiongoz wa juu. Wakati mwingine unaweza kuwa unapata shida na mateso usio yajuwa kwakujifanya wewe una akili kuliko viongoz wako.
Hii law inamanisha kwamba tuwe na tabia yakuongea kwa kiasi mbele ya watu wakuu.
Sheria hii ukisoma inaonyesha mifano ya watu wakale walio pata shida kwa kutokuwa makin ktk matendo yao.
Hivyo tuwe makini yangu hayo tu kwa leo
Wengi hatujuwi hii law na wengi inatutesa mpaka makaburini.
Kumbe inakupasa kuwa makini sana unapo kuwa unaongea na kiongoz wa juu. Wakati mwingine unaweza kuwa unapata shida na mateso usio yajuwa kwakujifanya wewe una akili kuliko viongoz wako.
Hii law inamanisha kwamba tuwe na tabia yakuongea kwa kiasi mbele ya watu wakuu.
Sheria hii ukisoma inaonyesha mifano ya watu wakale walio pata shida kwa kutokuwa makin ktk matendo yao.
Hivyo tuwe makini yangu hayo tu kwa leo
As a GT weka mifano hai kuthibitisha kauli yako
Jr