Realboynicky
Senior Member
- Mar 31, 2023
- 134
- 230
Lovebite aachia another hitsong TAJIRI. Ambayo inasumbua sana mtaani na kwenye platforms mbalimbali. Amerudi kwa kasi ya 4g.
Huyu jamaa sijui ana gundu gani. Kipaji anacho ila mvuto zero kabisa.
OkWewe ndo unasema hivyo ila jamaa anahit mbaya kitaaa tofauti na mitandaoni.
Nimejaribu kuusikiliza mara 3 nimeshindwa kuuelewa, huenda it's not my cup of tee.
Okay, ngoja niende Element kesho, huenda nikipiga vyombo huku nasikiliza nikaanza kuuelewaKausikilize ukiwa club. Amapiano inahitaji uwe na vibe.
Wimbo hauwi mzuri mpaka uwe Club? Au tafsiri ya wimbo mzuri siku hizi imebadilika?Kausikilize ukiwa club. Amapiano inahitaji uwe na vibe.
Wimbo hauwi mzuri mpaka uwe Club? Au tafsiri ya wimbo mzuri siku hizi imebadilika?
Kiukweli sijauelewa jamaa nyota hana aisee basi wasafi nao hawaipi promo ngoma tofaut na zuchu au mboso
kwahyo tukusanyike club kwenda kuhakiki kama wimbo ni mzuri au mbaya 🚮Kausikilize ukiwa club. Amapiano inahitaji uwe na vibe.
Mtaa gani?Wewe ndo unasema hivyo ila jamaa anahit mbaya kitaaa tofauti na mitandaoni.
Sio kwamba ana gundu sema ana utaratibu sio mzuri wakutoa wimbo jamaa anatoaga wimbo mmoja kwa Mwaka ndio maana anasahaurikaHuyu jamaa sijui ana gundu gani. Kipaji anacho ila mvuto zero kabisa.
Sio kwamba ana gundu sema ana utaratibu sio mzuri wakutoa wimbo jamaa anatoaga wimbo mmoja kwa Mwaka ndio maana anasahaurika
HUu sasa ufala, hao unaowasema mtaani wote wapo club?Kausikilize ukiwa club. Amapiano inahitaji uwe na vibe.
HUu sasa ufala, hao unaowasema mtaani wote wapo club?
Natoa wito machawa wote rudini shule
Mitaa gani anayohit nije nikahakikishe?Wewe ndo unasema hivyo ila jamaa anahit mbaya kitaaa tofauti na mitandaoni.