kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 11,185
- 24,574
Kuna mambo yanashangaza sana 3G ya halotel ina kasi na nguvu kuliko 4G ya halotel hili linafikirisha sana
Ukitaka kuamini weka 3G ya halotel upime speed ikisha uweke 4G ya halotel upime speed...Majibu yake yatakushangaza kuwa 3G ya halotel ni bora ina kasi kuliko 4G ya halotel
4G ya halotel ni mchongo, na huenda ni feki kabisa wala sio 4G halisi kama wanavyotuongopea nchi zetu hizi tunadanganywa sana eti halotel wana 4G?[emoji23]