Huyu alivyoanza kwenda kwa wachungaji kuombewa tulishajua kapelea.Huyu jamaa naona siasa zishamkataa.
Wajumbe huko nyamagana wamempa za uso.
Huyo ni mlevi sana mda wake ulikwisha kitamboHuyu jamaa naona siasa zishamkataa.
Wajumbe huko nyamagana wamempa za uso.
Huyu kachemka kweri kweriHuyu alivyoanza kwenda kwa wachungaji kuombewa tulishajua kapelea.
Kaka naye alikuwaga jeshini tena cheo cha brigadier,walimuondoaAendelee kunywa makonyagi tu
Kala za uso, Katambi kapita Kwa kishindoHivi Stephen masele kapita
Ova
Haruhusiwi kugombea?Wakuu si aliokoka uyu masha
Hao waliendekeza mademu na pombe sasa wanajikuta wanafosi dakika za jioni.Lau zama zako zishapita,angalia mitikasi mingine tu.Mzee wa balimi mlima.