MOTOCHINI
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 27,576
- 29,987
Babu Duni hayupo kwenye kitengo cha hela hivo kaamua kukacha.
Kakwepa kutumika kama mbatia
Babu Duni hayupo kwenye kitengo cha hela hivo kaamua kukacha.
Mzee huyo mnamtesa bure wakati bado anasubilia kifungo
Join Date : 27th September 2015
Posts : 33
Rep Power : 307
Likes Received4
Likes Given0
Utakuwa umeingia kwa ID nyingine kwa kazi maalum, nyie ndo mnaleta machafuko kwa kuzomea wagombea. Wacheni watangaze sera zao, wananchi wanaona pumba na mchele.
Waache wapige mwisho wao october, Magufuli atawashughulikia.
Chukua hii
Mvutano mkali wa kutoaminiana umejitokeza miongoni mwa kamati tendaji ya Lowasa, shutuma kali za kufichua taarifa muhimu za vikao na kuzipeleka CCM zimekuwa zikitolewa kwa Masha. Hofu imetanda kuwepo na wasaliti ndani ya kamati ya mzee kitendo ambacho baadhi yao wamedai kufanya maamuzi magumu endapo hali hiyo itaendelea. Aidha swala la matumizi ya feza nalo limezua mvutano mkali, wapo wanaotumia feza kwa kujinufaisha na sio kwa kazi ya mzee.

Bora Lipumba aligundua mapema kua UKAWA ya sasa inaelekea kuiua CUF akasepa. Duni na akili zake kama jina lake kaimaliza kabisa CUF