CHASO kufanya maamuzi magumu leo Dar es salaam

Mtafi

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2015
Posts
235
Reaction score
64
CHASO DAR KUFANYA MAAMUZI MAGUMU

Vijana wote wa CHASO Mkoani Dar es Salaam, leo wanatarajia kukutana na kutoa tamko la kufanya maamuzi magumu kwa maslahi mapana ya Taifa. Vijana hao kwa muda mrefu wamekuwa wakilalamikia maamuzi ya chama chao kuwakumbatia mafisadi tofauti na Agenda zao awali.

Miongoni mwa vijana hao wameonekana pia kutokubaliana na namna Dr Slaa alivohujumiwa na chama. Katibu wa CHASO akitoa taarifa kwa Wajumbe amewataka kufika mapema Jumanne ya saa nne asubuhi kwa ajili ya kutoa Tamko lao kwa Vyombo vya habari. Vijana hao wanatarajia kukutania pale Lunch Time Hotel (Opposite na Mabibo Hostel, TFDA)

Upatapo taarifa hii mfahamishe na mwenzako.

Kwa mawasiliano zaidi, 0715 882 817 SAMKY, KATIBU BAVICHA WILAYA YA UBUNGO. 0714 246 601, DANIELNYAMHANGA MJUMBE KAMATI YA MABADILIKO 0675 392 217 JEMES, MJUMBE KAMATI YA MABADILIKO
 
CHASO DAR KUFANYA MAAMUZI MAGUMU

Vijana wote wa CHASO Mkoani Dar es Salaam,leo wanatarajia kukutana na kutoa tamko la kufanya maamuzi magumu kwa maslahi mapana ya Taifa. Vijana hao kwa muda mrefu wamekuwa wakilalamikia maamuzi ya chama chao kuwakumbatia mafisadi tofauti na Agenda zao awali.

Miongoni mwa vijana hao wameonekana pia kutokubaliana na namna Dr Slaa alivohujumiwa na chama. Katibu wa Chaso akitoa taarifa kwa Wajumbe amewataka kufika mapema Jumanne ya saa nne asubuhi kwa ajili ya kutoa Tamko lao kwa Vyombo vya habari. Vijana hao wanatarajia kukutania pale Lunch Time Hotel (Opposit na Mabibo Hostel, TFDA)

Vyuo vimefunguliwa?
 
Vijana wa Chaso kweli mabadiliko ya kweli mmeyaona kwa Magufuli
 
Endeleeni kujifariji Gia ya angani haina kizuizi.
 
Hao Chaso Dar wamekutanaje na vyuo vimefungwa,usanii wa wanaccm huo msituletee!
 
...hao vijana ndio wakina nani? yani hilo kundi linawakilisha wakina nan.?
Eti wanalalamika Dr. Slaa hajatendewa haki?, siku zote walikua wapi?
Vijana kukosa ajira za maana Tanzania hakika imekua njia nzuri na nyepesi ya ccm kuwatumia mpk mwisho wa akili zao,sababu ya njaa zao...
Kama huyo Dr. wenu alishindwa nyie ndio mtaweza chochote zaidi ya kujiaibisha nyie na familia zenu, muonekane Tanzania yote mlivyo na njaa...
Vijana wa aina yenu ni aibu kwa Taifa,badala muwe chachu ya maendeleo na mageuzi,mmejikalia tu mnatumika km.....!
#veryshame!
 
Vijana hao wapo makini sana, Maamuzi Magumu na D r Magufuli
 
Hawaja chelewa madiliko y kweli yataletwa na john pombe Magufuli
 
Magufuli kumbe hadi Chadema wanamuunga mkono, vizuri sana CHASO
 
Vijana wa Chaso kweli mabadiliko ya kweli mmeyaona kwa Magufuli

Hata mpige sarakasi hata mtembee uchi na machozi yasiyokauka wananchi wenye nchi yao walishaamua ni mabadiliko tu. Chaso kitu gani ndugu yangu? tumeona sarakasi ngapi? Sasa watu wanasubiri tu tarehe na muda waonyeshe yaliyo yao. Kitu ambacho kinawashinda walio wenye wanaamini bla bla za kupangwa kitu ambacho si sawa. Siasa iliyofanywa chaguzi za nyuma ni tofauti na kipindi hiki na kama mnapoteza muda kuja na taarabu hizo mmeliwa. Tunawakaribisha mkimaliza mtatulia kama walivyotulia wenzenu. Over
 
CHASO DAR KUFANYA MAAMUZI MAGUMU

Vijana wote wa CHASO Mkoani Dar es Salaam,leo wanatarajia kukutana na kutoa tamko la kufanya maamuzi magumu kwa maslahi mapana ya Taifa. Vijana hao kwa muda mrefu wamekuwa wakilalamikia maamuzi ya chama chao kuwakumbatia mafisadi tofauti na Agenda zao awali.

Miongoni mwa vijana hao wameonekana pia kutokubaliana na namna Dr Slaa alivohujumiwa na chama. Katibu wa Chaso akitoa taarifa kwa Wajumbe amewataka kufika mapema Jumanne ya saa nne asubuhi kwa ajili ya kutoa Tamko lao kwa Vyombo vya habari. Vijana hao wanatarajia kukutania pale Lunch Time Hotel (Opposit na Mabibo Hostel, TFDA)

Upatapo taarifa hii mfahamishe na mwenzako.

Kwa mawasiliano zaidi, 0715 882 817 SAMKY, KATIBU BAVICHA WILAYA YA UBUNGO. 0714 246 601, DANIELNYAMHANGA MJUMBE KAMATI YA MABADILIKO 0675 392 217 JEMES, MJUMBE KAMATI YA MABADILIKO

Chaso safi sana kataeni kubuluzwa, Magufuli kwa mabadiliko mapana.
 
Hawajachelewa mabadiliko ya kweli yataletwa na john pombe magufuli
 
CHASO DAR KUFANYA MAAMUZI MAGUMU

Vijana wote wa CHASO Mkoani Dar es Salaam,leo wanatarajia kukutana na kutoa tamko la kufanya maamuzi magumu kwa maslahi mapana ya Taifa. Vijana hao kwa muda mrefu wamekuwa wakilalamikia maamuzi ya chama chao kuwakumbatia mafisadi tofauti na Agenda zao awali.

Miongoni mwa vijana hao wameonekana pia kutokubaliana na namna Dr Slaa alivohujumiwa na chama. Katibu wa Chaso akitoa taarifa kwa Wajumbe amewataka kufika mapema Jumanne ya saa nne asubuhi kwa ajili ya kutoa Tamko lao kwa Vyombo vya habari. Vijana hao wanatarajia kukutania pale Lunch Time Hotel (Opposit na Mabibo Hostel, TFDA)

Upatapo taarifa hii mfahamishe na mwenzako.

Kwa mawasiliano zaidi, 0715 882 817 SAMKY, KATIBU BAVICHA WILAYA YA UBUNGO. 0714 246 601, DANIELNYAMHANGA MJUMBE KAMATI YA MABADILIKO 0675 392 217 JEMES, MJUMBE KAMATI YA MABADILIKO

Pamoja sana vijana wenzutu, msikubali kubuluzwa.
 
Back
Top Bottom