Laurence Masha mbioni kufanya maamuzi magumu

Teh teh teh,tetesi za humu bana..vichekesho vitupu....Masha akitaka kutoka uzi unaonekana wa kipuuzi,ila tetesi za vigogo wa ccm kujiunga ukawa sahihi,asee NAJIFUNZA propaganda safi
 
Mvutano mkali wa kutoaminiana umejitokeza miongoni mwa kamati tendaji ya Lowasa, shutuma kali za kufichua taarifa muhimu za vikao na kuzipeleka CCM zimekuwa zikitolewa kwa Masha. Hofu imetanda kuwepo na wasaliti ndani ya kamati ya mzee kitendo ambacho baadhi yao wamedai kufanya maamuzi magumu endapo hali hiyo itaendelea. Aidha swala la matumizi ya feza nalo limezua mvutano mkali, wapo wanaotumia feza kwa kujinufaisha na sio kwa kazi ya mzee.

Washaanza kuvurugana bora kubaki CCM
 
Mvutano mkali wa kutoaminiana umejitokeza miongoni mwa kamati tendaji ya Lowassa, shutuma kali za kufichua taarifa muhimu za vikao na kuzipeleka CCM zimekuwa zikitolewa kwa Masha.

Hofu imetanda kuwepo na wasaliti ndani ya kamati ya mzee kitendo ambacho baadhi yao wamedai kufanya maamuzi magumu endapo hali hiyo itaendelea.

Aidha swala la matumizi ya feza nalo limezua mvutano mkali, wapo wanaotumia feza kwa kujinufaisha na sio kwa kazi ya mzee.
This is only sample for type of politician we have, ccm live on such. Deadmind
 
Back
Top Bottom