mnalaumu hiyo hela its time wasanii waanze kuthamini kazi yao, its cheaper ukilinganisha na nchi za wenzetu ukienda hata wasani wa level za chini tu utaingia kwa kilo mbili... twende tukacheke
kiingilio kinajumuisha vinywaji kadhaa, dinner and a night out with a friend/lover. raha kujipa mwenyewe, kwani michango ya harusi na misiba mnatoa, kujipa raha mnakirihika. Big up dada kansiime