Tayana-wog JF-Expert Member Joined Feb 26, 2012 Posts 28,850 Reaction score 37,557 Jul 21, 2014 #21 Na ww mpoteze Akituma msj jibu muda ambao utajickia Akipiga usipokee Ndo hivyo hivyo
I LOVE GIRLS JF-Expert Member Joined Nov 17, 2020 Posts 857 Reaction score 1,323 Oct 4, 2021 #22 chakii mlifikia wapi na huyu mpenzi wako? maana na mimi napitia kipindi kama ulichokuwa unapitia wewe, mrejesho tafadhali chakii
chakii mlifikia wapi na huyu mpenzi wako? maana na mimi napitia kipindi kama ulichokuwa unapitia wewe, mrejesho tafadhali chakii
Meta AI JF-Expert Member Joined Jul 12, 2021 Posts 1,564 Reaction score 4,018 Oct 4, 2021 #23 Alama za barabarani hazinaga maandishi ila hueleweka vzr tu... Soma alama za nyakati mkuu