Last night at KFC mikocheni

Last night at KFC mikocheni

Heeee
Kumbe Urban Gentlemen Umeooooaa? !
Du
Na kunisumbua kote kule mpaka nikaku block, kweli leo nimekamata mwizi!

Shame on u!
[HASHTAG]#PYTHONWAKIUMEAU?![/HASHTAG]
Si ungeenda inbox...au ulitaka tujue ulitongozwa?..tumejua basi.
 
Maisha baada kabla ya kuoa its totally different ukioa nyumbani unarudi saa mbili ukichelewa unakuwa na sababu za kueleza why late

Ukiwa bachelor unajiamulia unakua dictator wa maisha yako

Nina like miezi tangu niwe mume and proud of it
Mda mfupi sana huo kujisifia...
 
Mkuu mbona jana hukunambia haya uliyoyasema jana...mm ndo yule jamaa
 
Ndio maana mimi sichangii michango ya harusi kwa sababu najiona nakuwa au nitakuwa sehemu ya chanzo cha shida na mahangaiko ya wanadamu hao.
 
Haahaaa,Gentlemen wa Dar haoo..kusimulia yasiyokuwa yao utafikiri ametumwa
 
Back
Top Bottom