Last night at KFC mikocheni

Daah! wanaume wenye tabia za hvyoo mjirekebishe bac kaaah! inaumiza sana
 
Serikali imefuta road licence sasa sijui mapenzi yatakuwajeee
Shoga umenena. Baada ya kufutwa Road License sasa moto chini, ile mikweche yote itafufuliwa. Wenyewe wanasema wanapasha moto kiporo! Mfyuuuuu.
 
Siku moja nipo pub moja maarufu along Sam Nujoma road. Akaingia jamaa na Wanawake wawili, mmoja mchepuko mwingine rafiki wa mchepuko. Baada ya bia mbili tatu (waliingia tayari wameshachangamka) mchepuko ukaanzakumponda
Mke wa jamaa! Baada ya dakika kama tatu jamaa akakasirika na kuondoka. Mchepuko ukawa unabembeleza lakini hakutaka
kumsikiliza. Hata bill aliwaachia!!
nawe umbea wa meza ya tatu unaudaka mzima mzima.? bora mchepuko alimpa ukweli mkewe angekuwa wa maana angemfata kuchepuka? ungelipia hizo bia
 
Haikuwa meza ya tatu ilikuwa meza ya pili.
Ningeweza kulipia hizo bia, lakini mbilinge la wifi yako unalijua?
 
Ukweli ni huu wanaume Halisi WaPo wachache na wanawake wanaowahitaji ni wengi ni vema wanawake mkubali kushare.
 
Siku moja nipo pub moja maarufu along Sam Nujoma road. Akaingia jamaa na Wanawake wawili, mmoja mchepuko mwingine rafiki wa mchepuko. Baada ya bia mbili tatu (waliingia tayari wameshachangamka) mchepuko ukaanzakumponda
Mke wa jamaa! Baada ya dakika kama tatu jamaa akakasirika na kuondoka. Mchepuko ukawa unabembeleza lakini hakutaka
kumsikiliza. Hata bill aliwaachia!!
Kuna siku mida ya saa nane usiku nimepanda daladala kuna mbaba alikuwa na mchepuko wamelewa wamekaa siti moja wameshikana.sasa yule mwanamke akawa anamponda mke wa jamaa na yule jamaa alikuwa anachangia kumponda mke wake sasa yule mwanaume akawa anasema mkewe ameuza kiwanja cha familia yao sasa yeye atatafuta namna achukue sijui million ngapi waende kula bata na yule mchepuko akawa anachochea ,yule mke alipondwa sana maskini ya Mungu
 
Siri za mke na mume mara nyingi huzijua wao wenyewe, huwezi jua kabla ya jamaa kuwa na huyo mchepuko ilikuwaje, unaweza hisi mtu anamtesa mkewe kwa kuamua kuwa na mchepuko wakati ukweli ni kwamba mke mwenyewe ndio amesababisha, ngoja nikupe mfano: Nina rafiki yangu mmoja ye ni mkubwa kwangu kwa umri ye yuko around 40+ lakini kila ilikuwa akikosana na mkewe ananifata nimshauri japo kipindi hicho mi nilikuwa sijaoa. Lakini kwa vile nilikuwa na busara nilikuwa namshauri vyema, lakini ikafikia kipindi akawa hapewi huduma yoyote na mkewe kuanzia kupikiwa, kufuliwa na hata chakula cha ndoa. Huku mkewe nae akawa kacharuka kudai talaka lakini kwa vile jamaa alikuwa anampenda mkewe hakutoa talaka, ndipo akaamua bora awafuate masheikh kupata ushauri, walimshauri aoe mke mwingine, tangu alipooa basi yule mkewe wa mwanzo karudisha huduma zote tena kwa unyenyekevu wa hali ya juu. Sasa kila nikifikiria najikuta nashindwa kujua tatizo lilipokuwa kwa yule mkewe wa mwanzo.
HUWEZI JUA YALIYOJIFICHA BAINA YA WANANDOA ZAIDI YA WAO WENYEWE na mwanaume hadi kuamua kuwa na mchepuko mara nyingi elewa tatizo lipo kwa mkewe, japo sio wote. Baadhi ya wanaume huamua tu kuchepuka then michepuka huwatatiti na kuwafanya wasahau ndoa zao.
 
Kabisa sikupingi hata kidogo haya mambo ni mazito sana aisee
 
Kuna siku mida ya saa nane usiku nimepanda daladala kuna mbaba alikuwa na mchepuko wamelewa wamekaa siti moja wameshikana.sasa yule mwanamke akawa anamponda mke wa jamaa na yule jamaa alikuwa anachangia kumponda mke wake sasa yule mwanaume akawa anasema mkewe ameuza kiwanja cha familia yao sasa yeye atatafuta namna achukue sijui million ngapi waende kula bata na yule mchepuko akawa anachochea ,yule mke alipondwa sana maskini ya Mungu
Yani acha kabisa
 
Hii ni hatari sana, jamaa amehatarisha ndoa yake kabisa, sidhani kama mke wake atamuamini tena, amecha kovu lisilofutika.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom