Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,377
- 205,773
Sawa dada Irene tutakuja
Sawa dada Irene tutakuja
Huu ndio ukweli kwa asilimia miaAliyewin kwenye ile ndoa ni dogo janja.
Maana irene alikua matawi sana kwahio dogo janja kuweza kumtafuna kwa miezi hata mi 4 ni achievement kubwa tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Na pale ndio naamini kabisa wanaume tukiamua jambo ni ngumu kushindikanaAliyewin kwenye ile ndoa ni dogo janja.
Maana irene alikua matawi sana kwahio dogo janja kuweza kumtafuna kwa miezi hata mi 4 ni achievement kubwa tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nawaza tu huwenda kuna siku alikuwa anapigishwa deki halafu anaambiwa part two kesho
😂😂😂😂😂 part two..Nawaza tu huwenda kuna siku alikuwa anapigishwa deki halafu anaambiwa part two kesho
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeweka maswali, wewe uliyechimbua weka majibu.
Ndio maanake. Hata kama 'the last minute' maana yake ni opportunity, sasa opportunity gani inapatikana hapo?Wabongo bhana, kwahiyo miswali yote hiyo ni kwamba hujaelewa au ndo unaleta wingi wa mambo
...na sekunde 3Wa kawaida ukimfananisha na nani mkuu?
Cheki ule mguu bob!
Amezaa lakini chuchu saa 5 na nusu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uchumi wa katiWana JF Umofia kwenu usiku wangu wa kuamkia tarehe hii 22/02/2019, Nimeutumia hapa Last Minute Lounge iliyopo sinza mori mbele ya La Chaaz njia ya kuelekea Wanyama Hotel.
Hakika ni usiku mzuri na wakupendeza kwenye hii siku maalumu ya ufunguzi wa pub ya dada yeru Irene Uwoya;
And alot of enjoyments, kama upo au ulikuwepo mahali hapa share feelings zako.
- Full of enjoyment
- music mzuri chini ya djommycrazy
- watu wastaarabu sio wahuni.
Mia