mcTobby
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 6,499
- 18,166
Kama unataka kujua kamari inachezwa na watu wanastake mamilioni ya dola ,siku moja nenda pale Las Vegas. Kama wewe ni mkamaria tembelea Nevada hapo ukaone pesa inavyoteketezwa.. kama una mashilingi ya Kitz hutambi huko.. hiyo ni mitaa ya Mafia wa kiitaliano ambapo wanakuambia Gambling means Business. Hapo ndipo panaitwa Las vegas. The gambling capital of the World.