Larry Madowo aonyesha Jumbe za Matusi na Vitisho anazotumiwa na Watanzania DM

Larry Madowo aonyesha Jumbe za Matusi na Vitisho anazotumiwa na Watanzania DM

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
1,446
Reaction score
2,093
Mwandishi wa chombo cha habari CNN mwenye uraia wa kenya Larry Madowo ameshare baadhi za ujumbe anazotumiwa DM za matusi na vitisho baada ya kuchunguza na kuripoti mauaji ya kikatili ya waandamanaji yaliyotoke Oktoba 29

1764225834660.png

1764225864473.png
 
Hao watukane wakiwa huko huko Tanzania hakuna anaeweza kuvuka mpaka wa Namanga na akapiga huo mkwara mbuzi akiwa Kenya..
 
Mwandishi wa chombo cha habari CNN mwenye uraia wa kenya Larry Madowo ameshare baadhi za ujumbe anazotumiwa DM za matusi na vitisho baada ya kuchunguza na kuripoti mauaji ya kikatili ya waandamanaji yaliyotoke Oktoba 29
Hao ndiyo vijana wenu waliojaza huko kwenye idara(TISS) ambao mnawategemea katika usalama wa taifa la Tanzania(katika nchi za Tanganyika na Zanzibar).
 
Kiongozi wa Lumumba akiona hvy anafurahia kuona yale malipo aliyowalipa uvccm yameenda vzr
 
Back
Top Bottom