Lara 1 yuko wapi? au mambo ya ID mpya.

Lara 1 yuko wapi? au mambo ya ID mpya.

Afyayaakili

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2012
Posts
936
Reaction score
1,300
Kuna sehemu nimepitia uzi wa zamani nikatokea kumkumbuka tuu, amepotelea wapi au kabadili ID. Nimemiss mastory yake
 
Maisha magumu yule aunt hana hela zile za kudanga danga hana tena. Maana alikuwa na mambo ya maisha flani ya matawi juu sasa maisha yamem konki konki konki master.

NB:Uzuri wa mwanamke awe na maneno makali
 
Back
Top Bottom