Laptop yangu inasumbua Mwanga. Nifanyaje?

Laptop yangu inasumbua Mwanga. Nifanyaje?

Kijuche

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2010
Posts
418
Reaction score
37
Nilidondosha laptop yangu Dell Inspiron 1525, ikaharibika kioo nikanunulia kingine ila kila mara natakiwa kuadjust mwanga badala ya yenyewe kutoa mwanga wa kutosha hata ukichomeka chaja kwenye umeme. Naomba ajuaye hili anisaidie Nifanyaje!
 
nunua LAPTOP nyingine. ulimwengu wa leo laptop hazitengenezeki!
 
Hicho kioo kitakuwa sio chake au kimefungwa vibaya.
 
hapa nina vimeo viwili toshiba na deli tatizo hilo hilo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom