ikiganda ina stack tu ama ile cursor inakuwa kama inaload kwa kuzunguruka hali ya kuwa huwezi fanya chochote?Habari zenu
Laptop yangu imekumbwa na shida hiyo
Ipo fresh feni inazunguruka fresh ila shida unaweza ukaitumia ila kuna wakati inaganda haibonyezeki batani yoyote
Naamua kuizima tena na naiwasha tena naendelea kuitumia then inaamua kuganda
Msaada wa kutatua tatizo hilo ni nini nimepiga window mara nyingi ila bado
hapo inahitaji heat cooling compound , inawekwa kwenye processor na vga,,na kupigwa blower safi, kama upo dar tuwasilia nikufanyie hiyo kazi mara moja
Hapo kwenye VGA sasahapo inahitaji heat cooling compound , inawekwa kwenye processor na vga,,na kupigwa blower safi, kama upo dar tuwasilia nikufanyie hiyo kazi mara moja
Hard disk ikianza kufa ama ikiwa slow sana inaweza leta tatizo kama hili, wakati huo ikistack stack ama kuwa slow jaribu kufungua task manager angalia upande wa Hdd haijaja 100%?Kama inastack
Cusor haizungutuki inaonekana kimshale tu
Kwanza angalia hard disc uwenda inatatizo,Kama inastack
Cusor haizungutuki inaonekana kimshale tu
yes mr. Am a full professional computer technical with big experience.
pia hapo jamaa amepiga windows mara nyingi na anasema tatizo liko pale pale,,, means hilo tatizo sio la software... hilo ni hardware problem,,
AU WEWE KICHWA MAJI LETE SULUHU YA TATIZO HAPA,,, NYIE NDIO WALE MNAANZA MARA VIRUS,,, MARA WINDOW IME CORRUPT HAPA KASEMA AMEBADILI WINDOW,, lete majibu hapa in term of hardware
No bro nisaidie no zakohapo inahitaji heat cooling compound , inawekwa kwenye processor na vga,,na kupigwa blower safi, kama upo dar tuwasilia nikufanyie hiyo kazi mara moja
Ikistack haibonyrzeki sehemu yoyote nazima then nawasha tenaHard disk ikianza kufa ama ikiwa slow sana inaweza leta tatizo kama hili, wakati huo ikistack stack ama kuwa slow jaribu kufungua task manager angalia upande wa Hdd haijaja 100%?
Kwa comand kama CTRL+Alt+delete pia hai respond?Ikistack haibonyrzeki sehemu yoyote nazima then nawasha tena
Naomba specifications zako za pc , RAM HDD WIN GANI UME INSTALL BIT NGAPI
Mkuu nimefatilia mazungumzo ya wataalamu wetu hapo juu, wewe kidogo umeelezea kiufundi japo kwa ufupi.
Kitu cha kwanza kujua ni specification za device yako, then ndio uta predict changamoto ni ip!
Hahaahaaahhahhah so bure wewKuchangia mimi siwezi maana sina cha kueleza kwenye haya mambo ni mtupu kabisa... naendelea kuweka kiti vizuri ili niendelee kujifunza