Laptop yangu haichaji betri

bishoke

JF-Expert Member
Jan 12, 2010
274
52
Wakubwa nina tatizo na laptop yangu hp kuto kuchaji betrii. Nili consult watu wakaniambia kuwa yaweza kuwa betri mbovu. Nimenunua betri mpya lakini tatizo halikumalizika.

Mwenye msaada anisaidie kabla sijawapelekea mafundi kuitengeneza au kuiharibu zaidi.
Asanteni.
 
Back
Top Bottom