Laptop......speak out what you can offer, here is my competitive budget.

Laptop......speak out what you can offer, here is my competitive budget.

reandle

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2009
Posts
11,166
Reaction score
8,152
Wadau,
Nahitaji Laptop. Pamoja na mambo mengine, the following specifications are mandatory:


  • RAM: At least 2 GB but 4 GB preferred
  • Hard Disk: At least 500 GB
  • Processor: Duo core, at least 2.20GHz
  • Screen: At least 15'
  • Webcam, Wi-Fi Connectivity
  • Type: HP or DELL(other types can be given the chance as well.
  • Place of Delivery: Dar es salaam.


MY BUDGET......TZS ≤ 450,000/=

MODE OF COMMUNICATION; JUST SMS+255754757234

NB: Just SMS coz' hapa kibaruani haturuhusiwi kuwa na simu hewani, but i'll be looking for messages after every 15 minutes.



 
Naomba nitumie maelezo yako nami ku'request mwenye laptop kulingana na mchanganuo huo.
 
At least 4GB only fo RAM??? unataka ku-oparate aina gani ya OS
 
Kwa hiyo bei ukipata Laptop yenye specs hizo usisite kutwambia
 
700000 unapata Toshiba sattelite c850 toleo jipya ikiambatanishwa na tablet ya pc 802 8"
 
Panda kidogo mpaka TSH 650,000/= mkuu nikupe HP pavilion Dv3 ina vyote unavyotaka na RAM yake ni 8GB. Nimeitumia mwaka na nusu tu, kitu bado kina meremeta kabisa!!
 
Panda kidogo mpaka TSH 650,000/= mkuu nikupe HP pavilion Dv3 ina vyote unavyotaka na RAM yake ni 8GB. Nimeitumia mwaka na nusu tu, kitu bado kina meremeta kabisa!!

sh laki 5 vipi?
 
Wakuu wote, ahsanteni sana....unajua laptop yangu ilikuwa imebuma ghafla so kwangu ni damage kukaa bila pc for more than 24 hours. Nilipoona hapa jamvini response ni ndogo, nikalazimika kukimbilia K/koo kwenye maduka ya Kisomali kwahiyo nishabeba mzigo!!
 
Back
Top Bottom